Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Sikupingi ofisa
 
Huu uzi nimegundua kumbe vingi vinavyozungumzwa hapa ni blah blah tu,nimekuja kugundua baada ya wadau kuzungumzia moja ya taasisi ninayofanyia kazi,vinavyozungumzwa ni sawa na mbingu na ardhi hakuna uhalisia hata kdgo,kama kilichozungumzwa kwenye taasisi ninayofanyia kazi naona sio sahihi kwa asilimia mia,je vinavyozungumzwa juu ya taasisi nyingne vitakuwa na ukwel
 
T kuna ukweli kiasi fulani taasisi mbili nilifanya kazi ...Wametaja kama ilivyo posho zao.
 
Wengi wanaongea uduwanzi huo bado ni majobless wanaishi kwa shemeg
 
shida ya hizi posho na safari sio constant, anaweza akatokea boss kavurugwa anafuta zote au anawapa kidogo sana na hamna la kumfanya.....so kwa wadau ambao hamjapata kazi, mkipata kazi wekeni kwenye mindset yenu kwamba mshahara ndo haki yako, ivyo vingine lolote linaweza kutokea.
 
Ni kweli, Kuna taasisi Fulani Mkurugenzi mpya kaingia akafuta baadhi ya posho, Watu wakaqnza kutafuta kazi kwingine
 
Mkuu hiyo namba moja tema mate chini! Njaa kali... labda kwa wazee wachache wa kujipigia pande. Mfano technician hapo kwenye namba moja take home ni laki 6!

Sent using Capo Dei Capi
Mkuu hiyo namba moja tema mate chini! Njaa kali... labda kwa wazee wachache wa kujipigia pande. Mfano technician hapo kwenye namba moja take home ni laki 6!

Sent using Capo Dei Capi
Mkuu unamaaanisha TPDC njaa kali?
 
Halmashauri hizi wanaita OT. Mkurugenzi huamua tu kulingana na bajeti yetu tulipane siku 3 au 5. Miezi mingine inapita kavu. Hivyo hivyo siku zinasonga kibishi. Ila serikali inatakiwa iboreshe sana maslahi ya halmashauri hali ni ngumu.
Kada gani halmashauri wana maisha?
 
Kada gani halmashauri wana maisha?
Halmashauri hakuna formula mkuu!
Afisa biashara kaenda kuomba nyama kilo 10 buchani kama leseni ya biashara imeisha utampa tu. HR hapitishi fomu ya mkopo mpaka loan officer utoe chochote. Kama wewe mzabuni ukitaka malipo yawahi lazima umtoa muhasibu. Wagavi hawa ndio wazee wa 10% kwenye manunuzi. Kama vita ya porini tu hujui adui anatokea wapi muda wowote unabutuliwa.
 
Usihukumu uzi mkuu ila baadhi ya wachangiaji hawako sahihi. Ila 75% ni sahihi
 
Wenye hela halmashauri ni Wataalam wa Ardhi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…