Qualitycontrol
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 777
- 498
Mimi naombeni tu ufafanuzi kuhusu hizi Maana ya TGA A ,TGS B mpka na E
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁Huku ndio kwenye cheap labours wa serikali ya ccm
Hizi zitakua za Salasala kwa lukosi mzee wa madunguDiscovery new model au, tuna zungumzia gar zet tulizo zizoea kama harrier, athletics
Sikupingi ofisaWe jamaa Mshamba kweli; Milioni 21 kwa mwezi kwako ni hela ? Unajua kazi ninazofanya?
Mkurugenzi wa MSD Aliyetumbuliwa anapokea 20 M kwa mwezi ; Mbona mishahara ya 20 M ni kawaida hata bongo!
Unajua Range za mishahara ya WHO?
Punguzeni ushamba basi kwa yale msiyoyajua. Unaweza kusikia nalipwa Dola hizo lakini do you know work permit nalipia kiasi gani kila mwaka ?
Yaani katika East Africa Tz ndio taifa Lina watu washamba na wasiokuwa na exposure ya maisha.
Mk54
Hivi vitu ukivijumlisha havofiki hata 3mNikimbie wapi?
Salary jeshini ni kawaida sana mkuu. Kinachowapa kiburi ni posho za:
Reshen, vinywaji, nyumba,na PA.
kuna ukweli kiasi fulani taasisi mbili nilifanya kazi ...Wametaja kama ilivyo posho zao.Huu uzi nimegundua kumbe vingi vinavyozungumzwa hapa ni blah blah tu,nimekuja kugundua baada ya wadau kuzungumzia moja ya taasisi ninayofanyia kazi,vinavyozungumzwa ni sawa na mbingu na ardhi hakuna uhalisia hata kdgo,kama kilichozungumzwa kwenye taasisi ninayofanyia kazi naona sio sahihi kwa asilimia mia,je vinavyozungumzwa juu ya taasisi nyingne vitakuwa na ukwel
Wengi wanaongea uduwanzi huo bado ni majobless wanaishi kwa shemegHuu uzi nimegundua kumbe vingi vinavyozungumzwa hapa ni blah blah tu,nimekuja kugundua baada ya wadau kuzungumzia moja ya taasisi ninayofanyia kazi,vinavyozungumzwa ni sawa na mbingu na ardhi hakuna uhalisia hata kdgo,kama kilichozungumzwa kwenye taasisi ninayofanyia kazi naona sio sahihi kwa asilimia mia,je vinavyozungumzwa juu ya taasisi nyingne vitakuwa na ukwel
Ni kweli, Kuna taasisi Fulani Mkurugenzi mpya kaingia akafuta baadhi ya posho, Watu wakaqnza kutafuta kazi kwingineshida ya hizi posho na safari sio constant, anaweza akatokea boss kavurugwa anafuta zote au anawapa kidogo sana na hamna la kumfanya.....so kwa wadau ambao hamjapata kazi, mkipata kazi wekeni kwenye mindset yenu kwamba mshahara ndo haki yako, ivyo vingine lolote linaweza kutokea.
Nakazia hapo na mimiMimi naombeni tu ufafanuzi kuhusu hizi Maana ya TGA A ,TGS B mpka na E
Mkuu hiyo namba moja tema mate chini! Njaa kali... labda kwa wazee wachache wa kujipigia pande. Mfano technician hapo kwenye namba moja take home ni laki 6!
Sent using Capo Dei Capi
Mkuu unamaaanisha TPDC njaa kali?Mkuu hiyo namba moja tema mate chini! Njaa kali... labda kwa wazee wachache wa kujipigia pande. Mfano technician hapo kwenye namba moja take home ni laki 6!
Sent using Capo Dei Capi
AnakuzinguaMkuu unamaaanisha TPDC njaa kali?
Kada gani halmashauri wana maisha?Halmashauri hizi wanaita OT. Mkurugenzi huamua tu kulingana na bajeti yetu tulipane siku 3 au 5. Miezi mingine inapita kavu. Hivyo hivyo siku zinasonga kibishi. Ila serikali inatakiwa iboreshe sana maslahi ya halmashauri hali ni ngumu.
Halmashauri hakuna formula mkuu!Kada gani halmashauri wana maisha?
Usihukumu uzi mkuu ila baadhi ya wachangiaji hawako sahihi. Ila 75% ni sahihiHuu uzi nimegundua kumbe vingi vinavyozungumzwa hapa ni blah blah tu,nimekuja kugundua baada ya wadau kuzungumzia moja ya taasisi ninayofanyia kazi,vinavyozungumzwa ni sawa na mbingu na ardhi hakuna uhalisia hata kdgo,kama kilichozungumzwa kwenye taasisi ninayofanyia kazi naona sio sahihi kwa asilimia mia,je vinavyozungumzwa juu ya taasisi nyingne vitakuwa na ukwel
Wenye hela halmashauri ni Wataalam wa Ardhi,Halmashauri hakuna formula mkuu!
Afisa biashara kaenda kuomba nyama kilo 10 buchani kama leseni ya biashara imeisha utampa tu. HR hapitishi fomu ya mkopo mpaka loan officer utoe chochote. Kama wewe mzabuni ukitaka malipo yawahi lazima umtoa muhasibu. Wagavi hawa ndio wazee wa 10% kwenye manunuzi. Kama vita ya porini tu hujui adui anatokea wapi muda wowote unabutuliwa.
TGS= Tanzania Government ScaleMimi naombeni tu ufafanuzi kuhusu hizi Maana ya TGA A ,TGS B mpka na E
Nao njaa tu pangu pakavu tia mchuziWenye hela halmashauri ni Wataalam wa Ardhi,