BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
nasikia kwa bachelor salary mi 1.3mWana viwango vidogo namjua jamaa ana masters hapo analipwa 2.2mil ana miaka zaidi ya 14 kazini .
Pia sio pazuri kwa vile ni shirika la mda sana, hawana field wala nn ,hata training unaweza kosa mwaka mzima .
1.2mil kama niliambiwa ndip entry ,huyo 1.3 nahisi ana miaka kuanzia 4 na kuendelea yaani Officer I.nasikia kwa bachelor salary mi 1.3m
Umesahau Mwalimu[emoji123]Mkuu TBC HAMNA?
Ila ukiwa CPA utalipwa more than 1.2m1.2mil kama niliambiwa ndip entry ,huyo 1.3 nahisi ana miaka kuanzia 4 na kuendelea yaani Officer I.
Niliambia na huyo jamaa alifanya kazi miaka 4 bila ya kupanda cheo ,na training kila mwaka ni mara moja tu zile ,hamna safari wala nn .
CPA sio kigezo kwa sababu taasisi nyingi ,ukiwa na CPA unapata posho kya heshima wanaita posho ya cheti kama wanayolipa TBS watu wakemia , nje ya mshahara ila hapo TAA wanakuhesabu kama degree holders wengineIla ukiwa CPA utalipwa more than 1.2m
Wakuu naomb ufafanuz hiiWakuu mambo ya ndani vip maokoto kam uhamiaj na polisi naskia nako kuzuri hasa ukiwa na bachelor naomb ufafanuzi
Ni kawaida tuu huko.Wakuu naomb ufafanuz hii
Hapan Chief Kuna mwana ana degree ya art with education amepata huko Sasa hajui basic yak itakua ngap ukitoa poshoNi kawaida tuu huko.
Ila kama umepata kapambane.
Ni pakawaida sababu ndio kijana na ndio anaingia mambo mazuri yatamkuta humohumo.Hapan Chief Kuna mwana ana degree ya art with education amepata huko Sasa hajui basic yak itakua ngap ukitoa posho
Kwa Polisi.Wakuu mambo ya ndani vip maokoto kam uhamiaj na polisi naskia nako kuzuri hasa ukiwa na bachelor naomb ufafanuzi
Acha na tiraeiii mkuu,Hii taasisi ipo vizuri sana.Hivi kati ya TRA na PCCB wapi kuna mpunga mrefu?
Dah kila nikionaga hili jina roho inaniumaAcha na tiraeiii mkuu,Hii taasisi ipo vizuri sana.
Tukiachana na package ya salary kua nzuri pia kuna vi tips vya hapa na pale.
Ukitaka uifurahie Hii kazi upate Mkoa wa kikodi ambao upo busy katika biashara mfano:; ILALA,TUNDUMA,DOM na KAHAMA.
Ni kweli nina mshikaji wangu amepata hizi ajira mpya si haba mzee.Acha na tiraeiii mkuu,Hii taasisi ipo vizuri sana.
Tukiachana na package ya salary kua nzuri pia kuna vi tips vya hapa na pale.
Ukitaka uifurahie Hii kazi upate Mkoa wa kikodi ambao upo busy katika biashara mfano:; ILALA,TUNDUMA,DOM na KAHAMA.
Hivi tume ya Umwagiliaji kazi zao nyingi si za field?NIRC&HALMASHAURI the same tu kwenye salary. hakuna miujiza yoyote ya posho wala nini! kuna mwanangu nimemkuta huku anauza maziwa ili asavaivu
serikali ifanye tathmin scale za watumishi wa halmashauri. wengi macho yamekua mekundu kisa stress
Vipi kuhusu upande wa pili kuleKwa Polisi.
Mwenye bachelor ya non science faculty kama vile muhasibu, mwanasheria,Mwalimu na ugavi wanachukua basic ya 8640,000 ila kwa faculty za science kama IT na Forensic wanachukua 940,000.
Medical Doctor(MD) ni 1,500,000.
Professional Allowance ambayo ni 15% ya basic salary ni fixed kila mwezi.
Ration Allowance 300,000 Hii ni fixed kila mwezi.
Ikitokea umebaki CCP kama mkufunzi kuna Allowance ya 50% ya Basic salary.
Kwa uhamiaji sijui mkuu illa nasikia katika wizara ya mambo ya ndani uhamiaji ndio wako juu katika maswala nazima ya mishahara na stahiki zingine.
Hope you gotta concept.
Jwtz?Vipi kuhusu upande wa pili kule
Sina nia ya kwenda huko, hata hivyo taaluma yangu lazima inilimit kuingia kule.Stick uliko kaka
Hao haoJwtz?