Kwa Polisi.
Mwenye bachelor ya non science faculty kama vile muhasibu, mwanasheria,Mwalimu na ugavi wanachukua basic ya 8640,000 ila kwa faculty za science kama IT na Forensic wanachukua 940,000.
Medical Doctor(MD) ni 1,500,000.
Professional Allowance ambayo ni 15% ya basic salary ni fixed kila mwezi.
Ration Allowance 300,000 Hii ni fixed kila mwezi.
Ikitokea umebaki CCP kama mkufunzi kuna Allowance ya 50% ya Basic salary.
Kwa uhamiaji sijui mkuu illa nasikia katika wizara ya mambo ya ndani uhamiaji ndio wako juu katika maswala nazima ya mishahara na stahiki zingine.
Hope you gotta concept.