Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kuhusu kuondolewa ni kweli sera za nchi zinategemea na Rais husika anayeongozaKama ni Mimi naangalia terms za Mkataba wa hapo DPW.. shida ni kwamba hakuna guarantee ya wao kumaliza 30yrs... SIASA za TZ ni shida sana anaweza kuja KIONGOZI MWINGINE akawatimua DPW. au DPW wasifike zile target wakaondolewa kisheria.. sasa hao wafanyakaz watakuwa hawana pa kwenda.. muda huo Bandar inarud kwa TPA.