Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kuhusu kuondolewa ni kweli sera za nchi zinategemea na Rais husika anayeongozaKama ni Mimi naangalia terms za Mkataba wa hapo DPW.. shida ni kwamba hakuna guarantee ya wao kumaliza 30yrs... SIASA za TZ ni shida sana anaweza kuja KIONGOZI MWINGINE akawatimua DPW. au DPW wasifike zile target wakaondolewa kisheria.. sasa hao wafanyakaz watakuwa hawana pa kwenda.. muda huo Bandar inarud kwa TPA.
Salary scale yao ni sh ngapi?Hivi mnaijua NEMC?
Huko ni balaa
Sasa terms utazijuaje bila kutoa notice TPA ndipo uruhusiwe kwenda DP.Kama ni Mimi naangalia terms za Mkataba wa hapo DPW.. shida ni kwamba hakuna guarantee ya wao kumaliza 30yrs... SIASA za TZ ni shida sana anaweza kuja KIONGOZI MWINGINE akawatimua DPW. au DPW wasifike zile target wakaondolewa kisheria.. sasa hao wafanyakaz watakuwa hawana pa kwenda.. muda huo Bandar inarud kwa TPA.
Walimu wa shirika la elimu kibaha walimu wana salary scales kubwa sanaMaskini walimu😭😭😭
Waalimu wako vizurMaskini walimu[emoji24][emoji24][emoji24]
Nahisi kwenye hizo semina zao wameelekezwa kila kitu kuhusu terms.. je ni permanent and pensionable au ni renewable contract ya mwaka kwa mwaka?Sasa terms utazijuaje bila kutoa notice TPA ndipo uruhusiwe kwenda DP.
Unaweza kukuta Terms ziko hovyo halafu tayari ushaaga TPA, kimbembe cha kurudi TPA kikawa kigumu maana tayari wanakuwa washakurelease.
Nahisi kwenye hizo semina zao wameelekezwa kila kitu kuhusu terms.. je ni permanent and pensionable au ni renewable contract ya mwaka kwa mwaka?
Structure ya salary ikoje na vyeo vya kimuundo UHAKIKA wa AJIRA ndio sawa... sina waswas je UHAKIKA wa cheo changu?
Unaweza ukatoka TPA kama Meneja ukaend kule ukaw officer wa chini JUNIOR..
Si nilisikia Shirika limevunjwa walimu watarudi H/Mashauri Kibaha.🤔Walimu wa shirika la elimu kibaha walimu wana salary scales kubwa sana
Permanent and pensionable private sector?? Hakunaga hiyo.
Ningekua mimi honestly ningebaki TPA. As long as mshahara wangu nahama nao popote, ningekubali kwenda port yoyote.
Wataenda na mishahara yaoSi nilisikia Shirika limevunjwa walimu watarudi H/Mashauri Kibaha.🤔
Kingine ni POSHO.. Mshahara sio shida..Permanent and pensionable private sector?? Hakunaga hiyo.
Ningekua mimi honestly ningebaki TPA. As long as mshahara wangu nahama nao popote, ningekubali kwenda port yoyote.
Mfano wa hizo scales.. tafadhalWataenda na mishahara yao
'Nasikia' ni sio chini ya 1.3m kwa b.a/bsc eduMfano wa hizo scales.. tafadhal
Hongera yao kwa kwel'Nasikia' ni sio chini ya 1.3m kwa b.a/bsc edu
Sasa mshahara wa 1.3M ndio wakushtua?? Tena ni basic salary'Nasikia' ni sio chini ya 1.3m kwa b.a/bsc edu
Private sectors zilizo stable wana permanent and pensionable contracts, mfano CRDB, NBC etc zipo nyingi tu sio serikalini tu mkuu...fuatilia.