Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Inafikirisha kwamba kuna taasisi ili uingie na ukunje 2.3M inakubidi hadi uwe genius na upambane hasa

Na hapo hapo kuna taasisi ili uingie na ukunje hiyo hiyo 2.3M huhitaji kuwa genius we ukiwa kilaza poa tu

By the way hii TRA unayohisi siyo vilaza ni hawa hawa ma TMO na CO tulioko nao au kuna wengine mkuu
-huwezi kulinganisha TMO Na Uhamiaji, interms of ugumu wa interview, uwazi wa interview, TRA hawazoi zoi makokoro kama huko Uhamiaji
 
Ni taasisi ya Serikali inayohusika na kukusanya fedha kwa Waajiriwa na kulipa fidia mbalimbali kwa Waajiriwa hao Hanoi kwa ufupi tu ili uelewe
Wanakusanya kwa kila mwajiriwa?
 
Mzee TRA mshahara wakawaida tu usisikilize story za watu mtaani, tena ukikakatwa take home yako unabaki na kama 1.3M huyo kwa mtu mwenye degree na ana deni heslb.
-deni la bodi ya mikopo sio permanent ni deni la muda tu na mwenzio wa TRA deni Hilo anamaliza faster tu kulipa kwa sabb salary scale Iko juu compared to wale wa TGS D ambao deni wanachelewa kulimaliza, vipi kuhusu wale wasio na deni la bodi?
-kuna Posho, overtime
-
 
Hapana sio kwa Mwajiriwa ni kujiunga na huu mfuko ni hiari ya Mwajiriwa kujiunga ila unakuwa na faida sana ukijiunga na huu Mfuko
ila maswali mengine mnacheki kwenye website yao na isitoshe mimi sio mtumishi wao wa WCF
Sawa mkuu
 
-deni la bodi ya mikopo sio permanent ni deni la muda tu na mwenzio wa TRA deni Hilo anamaliza faster tu kulipa kwa sabb salary scale Iko juu compared to wale wa TGS D ambao deni wanachelewa kulimaliza, vipi kuhusu wale wasio na deni la bodi?
-kuna Posho, overtime
-
Wasio na deni wanapata approximate 1.6M( kwako huu ndo mshahara mkubwa??)....alafu mkuu umeongelea salary sasa mbona una include posho na overtime, hizo posho kila taasisi ina utaratibu wao. Kingine hilo deni la heslb halimaliziki kirahisi ka unavyofikiria kama we ni mtumishi wa umma utaelewa ila kama sio huwezi nielewa.
 
Deni linamalizika kirahisi kama una salary scale kubwa hiyo ndio general rule, chukulia aliyeajiriwa mwaka 2016 unadhani mpaka leo atakuwa na deni? lakini kama salary ni tgs d hilo deni atabaki nalo hadi Leo pengine.

Kwenye huu Utumishi wa Umma bado TRA juu compared to taasisi nyingi sana za Umma. Hivi unajua overtime paymens zinategemea na salary scale yako? Kama salary scale yako ni tgs d overtime zako zitakuwa ndogo tu.

Kingine Kuna kupanda Cheo, cheo Cha Customs officer II ni Cha kuanzia, atapanda atakuwa Customs officer I, Then senior Customs officer II, Then Senior customs officer I, then Principal Customs officer II, then Principal Customs officer I, hence salary ya 2.3 M haibaki hiyo hiyo tu Kuna kupanda cheo.
 
-deni linamalizika kirahisi kama una salary scale kubwa hiyo ndio general rule, chukulia aliyeajiriwa mwaka 2016 unadhani mpaka leo atakuwa na deni?lakini kama salary ni tgs d Hilo deni atabaki nalo hadi Leo pengine.
-kwenye huu Utumishi wa Umma bado TRA juu compared to taasisi nyingi sana za Umma,

- hivi unajua overtime paymens zinategemea na salary scale yako? Kama salary scale yako ni tgs d overtime zako zitakuwa ndogo tu
-Kingine Kuna kupanda Cheo, cheo Cha Customs officer II ni Cha kuanzia, atapanda atakuwa Customs officer I, Then senior Customs officer II, Then Senior customs officer I, then Principal Customs officer II, then Principal Customs officer I, hence salary ya 2.3 M haibaki hiyo hiyo tu Kuna kupanda cheo

Sijajua taasisi uliyopo ila nnachojua mimi kua officers I(TGS F) na officers II( TGS E na TGS D kushuka chini ) wana overtime( sio per diem) sawa kama wote ni permanent and pensionable officers kasoro managers, directors and the likes wanakua wana overtime tofauti.

Alafu mkuu ukiongelea cheo kupanda hio ni in the long run, hapa saivi tunaongelea starting salary ya mtu. Narudia tena hzo posho zinategemeana na taasisi, kuna watu wana TGS E au D ila posho anazo pata per month ana mzidi hata mtu wa TRA( uki include posho zote)
 
Sijajua taasisi uliyopo ila nnachojua mimi kua officers I(TGS F) na officers II( TGS E na TGS D kushuka chini ) wana overtime( sio per diem) sawa kama wote ni permanent and pensionable officers kasoro managers, directors and the likes wanakua wana overtime tofauti. Alafu mkuu ukiongelea cheo kupanda hio ni in the long run, hapa saivi tunaongelea starting salary ya mtu. Narudia tena hzo posho zinategemeana na taasisi, kuna watu wana TGS E au D ila posho anazo pata per month ana mzidi hata mtu wa TRA( uki include posho zote)
-kwa Nini tusiongelee cheo, kwani kupanda cheo si ni haki ya mtumishi wa Umma? Kwa Nini isiongelewe hii haki,
-Kwani hakuna Watumishi wa TRA ambao Wana maposho mengi? Kwani ni hao wa TGS D na E ndio wenye maposho? Kwamba hakuna mtumishi wa TRA mwenye maposho ni hao tu wa TGS E?
-Salary kubwa bado Ina matter, mwenzako anaruhusiwa kukopa hadi 50M wakati ww wa TGS D huruhusiwi kukopa hata 20M
 
Mjomba unaonekana unaisujudu sana TRA Mungu akusaidie uingie ujionee hali halisi maana sijui huwa unaiona kama mbingu

Yani tangu mwaka jana huwa nakuona ubishani wako ni huu huu kila taasisi watu wanazotaja huwa unazilinganisha na TRA tu

Lakini kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna watu wako kwenye Taasisi za umma na mishahara yao inaonekana midogo tu lakini posho zao ni kufuru kuliko TRA na ukumbuke mishahara ina makato ila posho hazina makato
 
-kwani TRA hizo Posho hazipo? Au tuseme hizo Posho ziko kwenye taasisi nyingine lakini sio TRA?
- Jiulize kwa nini interview ya TRA huwa inakuwa na watu wengi pengine kuliko taasisi nyingine yoyote ya serikali?
-nijionee Hali halisi kwamba Watumishi wa TRA Wana maisha magumu au?
- hebu taja hizo taasisi zenye Posho kufuru? Ziorodheshe watu wazijue
 
Back
Top Bottom