Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Msife moyo wapambanaji weekend hii PT wanatoa pdf mungu ni mwema mtaondoka tuu kwenda ccp..
Jamani POSTA salary zao zipoje kwa ngazi ya digrii...TPCSS 4 ni kiasi gani na je posho zipo au ndio kwangu pakavu tia mchuzi....wenye marafiki au ndugu huko nipeni details
 
Mkuu
Mkuu mimi Niko sensitive sana na mshahara, kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa laki nane na nusu take home, huku nimepewa nyumba, gharama za umeme plus maji lakini nilifanya kazi mwaka mmoja tu nikaandika barua ya kuacha kazi nikaomba kazi mahali pengine
 
Vp Kaka naomb no ako
 
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake

1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Wcf wanalipa Sh ngapi mishahara na posho zao zipoje?
 
Back
Top Bottom