Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Humu ndani ukiperuzi unajiona wewe si kituhuyo akija halmashauri ataacha kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu ndani ukiperuzi unajiona wewe si kituhuyo akija halmashauri ataacha kazi
tumezoea 700k zetu ,watu ndio posho zao huko kwenye taasis zao na allowances kwenye wizaraHumu ndani ukiperuzi unajiona wewe si kitu
Hatari Sana mkuu, watu wanakula maokoto ya maana. Kuna kila sababu bi mkubwa na hili akaliangalia angalau gap lisiwe kubwa kiasi hikitumezoea 700k zetu ,watu ndio posho zao huko kwenye taasis zao na allowances kwenye wizara
sahihi chiefHatari Sana mkuu, watu wanakula maokoto ya maana. Kuna kila sababu bi mkubwa na hili akaliangalia angalau gap lisiwe kubwa kiasi hiki
Atabadilika kutokana na situationhuyo akija halmashauri ataacha kazi
Umeshawahi kuona ujenzi wa madarasa ukamnufaisha mwalimu?Miradi yote mikubwa wanayofanya alaf iwe njaa?
TOP WA SALARYWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
hii mamlaka ya viuatilifu? scale zao zikojeTPHPA
TPHPhii mamlaka ya viuatilifu? scale zao zikoje
Wewe ni limbukeniWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
scale zao na posho zikoje hapo?TPHP
Hii si imefutwa na OTR?TPHP
Mkuu TBC HAMNA?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
scale zao na posho zikoje hapo?
Hii ni mamlaka mpya baada ya kuungana TPRI na PHSHii si imefutwa na OTR?
Hata kwa wahandisi wa TRC pia?Umeshawahi kuona ujenzi wa madarasa ukamnufaisha mwalimu?
Kwenye hiyo miradi ya reli ten percent inaishia huko juu juu top layer.
TRC bora hata utingo wa treni anaweza piga hela njiani kuliko bench officer
Inategemea na mkataba walioingia na mkandarasi kama unahusisha na wataalamu kutoka ndaniHata kwa wahandisi wa TRC pia?