Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
 
1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
😂😂😂
 
1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Mkapa alikuwa na akili , maono mapana, mtengeneza njia pasipo na njia. Huyu shangazi mfuga CHAWA kama Lucas Mwashambwa, hana maono, hana ubunifu, yaani anamaliza uchumi wa Tanganyika kwa kujenga na kupeleka kila kitu kwao.

Tanganyika anawatimua Wamasai kwenye ardhi yao ili awape Waarabu, hii ni laana kubwa.

Kauza bandari yetu kwa DP WORLD kwa mkataba mbovu usio na ukomo.

Hili ni janga la kitaifa
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Ungeandika pia Mkapa aliua Taasisi ngapi? Zaidi ya 300 kwa kisingizio cha ubinafsishaji. Kumbuka Kikwete alivyopata kazi ngumu sana kipindi chake mwanzoni kuanza kuzirudisha na kuzifufua kwa gharama kubwa. Mf. Reli, Bima, Viwanja vya ndege, mabenki, tanesco, atc etc.
 
Kwamba watu walikuwa hawalipi kodi kabla ya mkapa? Alianzishaje wakati kodi ya mapato ilikuwa inalipwa tangu enzi za Mjerumani?
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Tofauti ni kubwa mnooooooo
 
Ungeandika pia Mkapa aliua Taasisi ngapi? Zaidi ya 300 kwa kisingizio cha ubinafsishaji. Kumbuka Kikwete alivyopata kazi ngumu sana kipindi chake mwanzoni kuanza kuzirudisha na kuzifufua kwa gharama kubwa. Mf. Reli, Bima, Viwanja vya ndege, mabenki, tanesco, atc etc.
Ungeweka alizoanzisha mkwere basi na wewe sio mambo ya jumlajumla, mwezio kaanisha jibu kwa hoja
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Post ya kitoto mno.....

Umeweka maskhara mengi mno........

Alichokifanya hayati mzee Mkapa (Rip) ni kikubwa kwa ajili ya taifa ,kiko wazi na hakipingiki....

Nilitegemea umzodoe mh.Rais Samia kama angekuwa AMEZIFUTA hizo taasisi alizoanzisha mh.Mkapa....

Je mh.Samia AMEZIFUTA?!!
 
Ungeandika pia Mkapa aliua Taasisi ngapi? Zaidi ya 300 kwa kisingizio cha ubinafsishaji.
Taasisi gani hizo?!!
Hizo taasisi zilikuwa zilishajifia kitambo au ni mahututi kabisa.
Mfano taasisi kama RTC, NMC, NiC, Breweries, nk, nk, hazikuwa na tija yoyote.

Kama hiyo NIC ukidai fidia ya Bima, inakuchukua miaka hata 10, rushwa kibao, na pengine fidia ikitoka unagawana na wafanyakazi, au hupati kabisa.

TBL, ukiwa na shughuli ukahitaji kreti za bia mfano 50, unapeleka maombi kwa barua, unatoa rushwa, unaidhinishiwa 10, mwishoni unapewa 2 kwa maelezo kuwa uzalishaji ni mdogo sababu ya ubovu wa mitambo, na wahitaji ni wengi.

RTC ukihitaji sukari au sabuni unawasilisha maombi kwanza maana demand ni kubwa kuliko supply, siku ya siku unapanga foleni siku nzima, nk.

Hayo yalikuwa mashirika hewa yasiyoweza kujiendesha kibiashara, yaliyokuwa yanaishi kwa ruzuku za Serikali a.k.a kodi za wananchi, huku yakiwa hayana jipya zaidi ya kuibia wananchi.
 
Back
Top Bottom