Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Pre GE2025 Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Unajua maana ya taasisi ya serikali? Ndio shida ya kuamkia viporo vya viazi vitamu
 
Je unaikumbuka kampuni ya madini ya Meremeta na Hotel ya 5Star iliyopo Johannesburg?
 
Mkapa alitengeneza ila aliyefuata akazingua
 
Duh,
Hii ni hatari.
Mambo ya hovyo ndo yanapewa kipaumbele kwa sasa!
Ifike mahali machawa kama Tlaatlaah na wenzake waone aibu kutetea huu ujinga
hata pale marekani USAID na green card vimefutwa na vimenadilishwa na kuanzishwa vitu vingine vyenye tija na malengo yanayowafikia walengwa kwa ufanisi,

fear of unknown ni kitu mbaya, ni muhimu kutokuogopa mabadiliko gentleman,

Infact
ni muhimu zaid kuyaenzi na kuyaboresha yaliyoanzishwa kitambo, kuyaacha ya kijinga na kuyaanzisha mapya mazuri zaid kwa maslahi mapana ya waTanzania wote bila kujali kelele za vibaka na matapeli wa kisiasa nchini 🐒
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa;
1. TAA
2. TCRA
3. PPRA
4. BRELA
5. EWURA
6. TACAIDS
7. SUMATRA
8. TANROADS
9. TAKUKURU
10. TRA.
11. MKUKUTA.
12.MKURABITA.

Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Nimecheka kuona mama anaupigamwingi
 
Mkapa alikuwa na akili , maono mapana, mtengeneza njia pasipo na njia. Huyu shangazi mfuga CHAWA kama Lucas Mwashambwa, hana maono, hana ubunifu, yaani anamaliza uchumi wa Tanganyika kwa kujenga na kupeleka kila kitu kwao.

Tanganyika anawatimua Wamasai kwenye ardhi yao ili awape Waarabu, hii ni laana kubwa.

Kauza bandari yetu kwa DP WORLD kwa mkataba mbovu usio na ukomo.

Hili ni janga la kitaifa
Si kila siku unatengeneza njia. Inafika kipindi inabidi kukarabati njia na kubuni juu ya kuzitumia njia hizo kiufanisi zaidi. Fahamu baada ya miaka kumi njia lazima ikarabatiwe.
TRA imefanyiwa marekebisho mengi tu. Toka ile ya mkapa mpaka hii, tofauti yake ni kubwa sana. Kimsingi hizi zote - TAA, TCRA, PPRA, BRELA, EWURA, TACAIDS, SUMATRA, TANROADS, TAKUKURU na TRA, zimefanyiwa marekebisho makubwa sana ili ziwe na ufanisi. Kuna nyingine Rais amejiuliza mara nyingi kama zina ufanisi uliokusudiwa au zifutwe, mfano TAKUKURU. Nia ya kuanzishwa ilikuwa nzuri lakini matokeo ni chini ya kiwango.

Nini maana yake? Sote ni mashahidi kuwa huko nyuma nchi yetu ilikuwa nzuri sana kwa kubuni miradi baada ya miradi, lakini mingi ilitumia bajeti kubwa sana na kufia njiani. Mfano kilimo cha umwagiliaji, nausikia huu mradi miaka nenda miaka rudi na kutumia pesa nyingi lakini haikuonekana kuendelea. Mama anatutoa huko na kujikita na mashirika na miradi yaliyoanzishwa na watangulizi kuhakikisha inakuwa endelevu na ufanisi.

Kwa mfanya biashara yeyote anajua kuwa kuanzisha biashara ni rahisi, lakini kuiendeleza ndio changamoto. Watanzania ni lazima tubadilike, tuache kuwaongoza vibaya marais wetu. Wakidhani kuwa kila mmoja akiingia madarakani ni lazima aanzishe mashirika na miradi mingi mipya ili aonekane kuwa anaakili. Huu ni ufinyu wa akili.

Rais Samia kiuchumi yuko vizuri sana. Ana mapungufu yake lakini si kiuchumi. Katika eneo hili anauthubutu mkubwa sana. Fikiria unamlinganisha Rais aliyepo madarakani miaka 3 na yule aliyekuwepo madarakani miaka 10. Sijui kama unania njema kwa taifa lako.
 
Awamu ya sita ni
👇🏾

1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7.Chawa wa Mama
8.kizimkazi Festival
9.Pika na Mama
10.Mitano Tena
Kila mmoja kaanzisha kwa mujibu wa upeo na vipaumbele vyake. Ni dhahiri wa awamu ya 6 yeye kipaumbele chake ni kusifiwa na kula bata.
 
Nilitegemea umzodoe mh.Rais Samia kama angekuwa AMEZIFUTA hizo taasisi alizoanzisha mh.Mkapa....
Kama hukuelewa, ngoja nikufahamishe; mtoa mada ametumia bongo kuhoji;

Hiyo ya kuitwa awamu ya 6, imefanya lipi tangible linaloweza kuwa supported na vivid evidences zaidi ya maneno na ngonjera?

Mfano, mkisema amekuta daraja la wami likiwa ktk 37% ya ujenzi, yeye kamalizia pakubwa.

Hapo mnakuwa mmepiga porojo, ila kama mtasema hiyo asilimia mmeanza kuhesabu kuanzia hatua gani ili kupima ufanyaji kazi na ufanisi, tutaelewa!
  • Hatua za kufikiria kufanya, kuamua kufanya, kufanya upembuzi yakinifu, cost analysis, kuanzisha mchakato, n.k zinaangukia sehemu gani?
  • Kiasi gani cha kianzio kilicholipwa wakati wa kuanza mradi?
  • Jumla ya gharama yote ya mradi ni ngapi?
  • Muda wa kukamilisha mradi ni upi?
  • Hiyo asilimia inaelezea sehemu ya muda gani kufikiwa na mradi?

Kila mradi, kazi iliyofanywa, ikielezewa vizuri na kueleweka, huna haja ya kushimdanisha watendaji, sisi tutajua na kuona nani ni bora!

Na mwisho ningependa kumpongeza mama kwa miradi mikubwa mitatu aliyofanikusha kwa 100%
  • Kuuza pande la nchi sehemu ya fukwe/bandari
  • Kuuza pande la nchi sehemu ya bonde la ufa huko, na kutimua wazawa.
  • Kupalilia ukwapuaji na uzorotaji wa shilingi ya kitanzania.

Well done.
 
Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa n
1. Samia Legal Aid
2. Goli la Mama
3. Samia App
3. Kazi Iendelee
4. Generation Samia
5. Mama Anaupiga Mwingi
6. Wasanii na Mikopo
7. Chawa wa Mama
8. Kizimkazi Festival
9. Pika na Mama
10. Mitano Tena

By
Twaha Mwaipaya

NB
MITANO TENA KWA MAMA
 
Back
Top Bottom