๐จSUPER CUP 2023.
Timu ya Wananchi Yanga imepata nafasi ya kushiriki michuano ya Super cup ๐ mwakani.Yanga itaungana na timu za.
๐นAl ahly (Misri)๐
๐
๐นZamelek (Misri)๐
๐
๐นMamelodi sundown (Afrika ya kusini)๐๏ธ๐
๐นOrlando pirates (Afrika ya kusini)๐๏ธ๐
๐นWydad Casablanca (Morocco)๐๏ธ๐
๐นRaja Casablanca (Morocco)๐๏ธ๐
๐นRs berkane (Morocco)๐๏ธ๐
๐นYanga sc (Tanzania)๐๏ธ๐
๐นSimba sc (Tanzania)๐ค
๐นTp mazembe ( Dr Congo)๐๏ธ๐
NB:Kuna watu walikuwa wanasema Yanga hawezi kushiriki Super cup ๐ ๐คฃSasa mnajiskiaje baada ya kupata hii habari leo kuwa wababe wenu wa muda wote watakuwepo kupeperesha bendera ya Tanzania ๐น๐ฟ.
๐จHalafu unaambiwa pesa ambayo Yanga watabeba baada ya kuchukua ๐๐๏ธ๐๏ธzao ni zaidi ya zile za mwekezaji Mudy๐คฃ