Hizi ndio timu 10 ambazo zimekuwa confirmed zitashiriki Super League Msimu 2023

Hizi ndio timu 10 ambazo zimekuwa confirmed zitashiriki Super League Msimu 2023

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Hizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9. Simba SC
10. TP Mazembe

Timu 14 zitaongezwa hapo baadae #AfricaSuperLeague
View attachment 2320121

Haya mashindano yasinge noga bila Uwepo wa Yanga SC.
 
Hizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
1. Al Ahly
2. Zamalek SC
3. Mamelodi Sundowns
4. Orlando Pirates
5. Wydad AC
6. Raja CA
7. RS Berkane
8. Yanga SC
9. Simba SC
10. TP Mazembe

Timu 14 zitaongezwa hapo baadae #AfricaSuperLeague
View attachment 2320121
utopolo inafanya nini hapo namba 8???? jinga mkubwa
 
Iko hivyo, hasa ukizingatia mechi kati ya Simba Sc na Uto ni moja kati ya derby kubwa hapa Africa.

Hakuna kingine.
Screenshot_20220810-153517.jpg
 
🚨SUPER CUP 2023.

Timu ya Wananchi Yanga imepata nafasi ya kushiriki michuano ya Super cup 🏆 mwakani.Yanga itaungana na timu za.

🔹Al ahly (Misri)🏅🏆
🔹Zamelek (Misri)🏅🏆
🔹Mamelodi sundown (Afrika ya kusini)🎖️🏆
🔹Orlando pirates (Afrika ya kusini)🎖️🏆
🔹Wydad Casablanca (Morocco)🎖️🏆
🔹Raja Casablanca (Morocco)🎖️🏆
🔹Rs berkane (Morocco)🎖️🏆
🔹Yanga sc (Tanzania)🎖️🏆
🔹Simba sc (Tanzania)🤝
🔹Tp mazembe ( Dr Congo)🎖️🏆

NB:Kuna watu walikuwa wanasema Yanga hawezi kushiriki Super cup 🏆 🤣Sasa mnajiskiaje baada ya kupata hii habari leo kuwa wababe wenu wa muda wote watakuwepo kupeperesha bendera ya Tanzania 🇹🇿.

🚨Halafu unaambiwa pesa ambayo Yanga watabeba baada ya kuchukua 🏆🎖️🎖️zao ni zaidi ya zile za mwekezaji Mudy🤣
 
Wakati wanadai hamshiriki mmeufyataaa.
Sasa mtashiriki mnaongea.
Moral of the story: Mmebebwa aka zali, Nani kawabeba? Mnamjua anaeibeba Tanzania ktk international competition.
 
Back
Top Bottom