Hizi ndio timu 10 ambazo zimekuwa confirmed zitashiriki Super League Msimu 2023

Sasa utopolo ataenda kufanya nn super league, yeye si atulie amsubirie Zalan FC maana ndo uwezo wanaendana.
 
Endelea KUNYA KWA MDOMO
 
Yaaani nyie Utopolo aka Vinyesi FC inabidi tuwaonee tu huruma saa nyingine. Mnapenda sana ukubwa ambao hata hamna.. team ya 67 huko unawezaje kusema mkubwa mwenzio yupo 15 Bora. Kimataifa mna point 0.5 hii aibu hata hamuisemi..
Sio 67 mkuu ni 75
 
Sasa rais wenu msomi mbona hasem lolote kuhusu hili suala? hata sope takadini kaona halina umuhimu kujisifia?
 
adriz liked your comment with ahahahah😅😅😅

Pole Sana mtani Kwa kutokuwepo ktk list..pambana uwe mkubwa Kama Simba😅
Man U na Arsenal timu kubwa hazipo Uefa kitimu kidogo kama Spurs kipo sasa kukosekana kwa Yanga kwenye hayo mashindano sio kitu Yanga itabaki kua kubwa siku zote na tarehe 13 mtapoteana kama kawaida yenu.
 
Ungesoma comment kwanza nazani usinge andika hii pumba

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Waambie hawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Man U na Arsenal timu kubwa hazipo Uefa kitimu kidogo kama Spurs kipo sasa kukosekana kwa Yanga kwenye hayo mashindano sio kitu Yanga itabaki kua kubwa siku zote na tarehe 13 mtapoteana kama kawaida yenu.
Unaumia mnooo, unaandika huku chozi linadondoka lol.
Poleeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babra amesimba Simba wamepata mwaliko lakini watakaa chini na kuangalia kama watashiriki au hawatashiriki.
Anaanzaje kukataa kwa mfano..bil ,8 za bure
 
Man U na Arsenal timu kubwa hazipo Uefa kitimu kidogo kama Spurs kipo sasa kukosekana kwa Yanga kwenye hayo mashindano sio kitu Yanga itabaki kua kubwa siku zote na tarehe 13 mtapoteana kama kawaida yenu.
Hahaha pumba at its pumbest. Endelea kujisifia bingwa wa kihistoria. Kumbuka huu sio uteule tuu kuangalia majina ya timu Bali ni records za timu barani afrika. Ubingwa wako wa kihistoria unaishia kumtishia ihefu, ila records za simba zinamtisha al ahly
 
Mbona Sisi Yanga hatupo, TFF ituonee hata CAF nao watuonee? This is not fair !!!! Twendeni FIFA kushitaki huu ujinga lazima ufike mwisho

Ko hata vita waseme wanaonewa???au kina mereikh!!!...ishu ni moja tu HAMNA VIGEZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…