Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Sasa utopolo ataenda kufanya nn super league, yeye si atulie amsubirie Zalan FC maana ndo uwezo wanaendana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umebatizwa lini kutoka uto Hadi kuwa mnyama mkali? 😅Mimi ni mnyama mkalii
Endelea KUNYA KWA MDOMO[emoji599]SUPER CUP 2023.
Timu ya Wananchi Yanga imepata nafasi ya kushiriki michuano ya Super cup [emoji471] mwakani.Yanga itaungana na timu za.
[emoji843]Al ahly (Misri)[emoji966][emoji471]
[emoji843]Zamelek (Misri)[emoji966][emoji471]
[emoji843]Mamelodi sundown (Afrika ya kusini)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Orlando pirates (Afrika ya kusini)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Wydad Casablanca (Morocco)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Raja Casablanca (Morocco)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Rs berkane (Morocco)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Yanga sc (Tanzania)[emoji2422][emoji471]
[emoji843]Simba sc (Tanzania)[emoji1666]
[emoji843]Tp mazembe ( Dr Congo)[emoji2422][emoji471]
NB:Kuna watu walikuwa wanasema Yanga hawezi kushiriki Super cup [emoji471] [emoji1787]Sasa mnajiskiaje baada ya kupata hii habari leo kuwa wababe wenu wa muda wote watakuwepo kupeperesha bendera ya Tanzania [emoji1241].
[emoji599]Halafu unaambiwa pesa ambayo Yanga watabeba baada ya kuchukua [emoji471][emoji2422][emoji2422]zao ni zaidi ya zile za mwekezaji Mudy[emoji1787]
Kale katimu kanakopenda kujikomba na kutembelea flag ya Simba naona kanatamani Simba ikafanyie mpango kawepo, hakuna shida tutakubeba mwakani
Sio 67 mkuu ni 75Yaaani nyie Utopolo aka Vinyesi FC inabidi tuwaonee tu huruma saa nyingine. Mnapenda sana ukubwa ambao hata hamna.. team ya 67 huko unawezaje kusema mkubwa mwenzio yupo 15 Bora. Kimataifa mna point 0.5 hii aibu hata hamuisemi..
Kweli kabisa.... Rekodi ya kufungwa 4-1 au 5-0 au basi 6-0 ni rekodi ya Yanga kujivunia.Rekodi za Yanga dhidi ya Simba zisikufanye uogope uwepo wa Yanga
Hopeless kabisa.Niko Arusha katika mkutano mkuu CAF.
Kwani mmeshapewa nakala ya hukumuMbona Sisi Yanga hatupo, TFF ituonee hata CAF nao watuonee? This is not fair !!!! Twendeni FIFA kushitaki huu ujinga lazima ufike mwisho
Huyo jamaa ni chizi.Huyu sio yule aliyetuonesha Uzi mpya wa Simba kumbe sio wenyewe?
Tulipowabeba kimataifa wakaanza kudharau ,tunaingiza timu nne kimataifa wanasema wamejibeba ,sasa wajibebe na hiiHuyo jamaa ni chizi.
Sasa rais wenu msomi mbona hasem lolote kuhusu hili suala? hata sope takadini kaona halina umuhimu kujisifia?Kuna watu wamepigwa na kitu kizito kichwani kwa mara ya pili mfululizo! Mwanzoni walijinasibu kuanzia raundi ya pili, mwisho wa siku wanaanzia raundi ya kwanza kama wale walio wakejeli!
Sasa hivi tena wanashiriki wote kwenye yale mashindano waliyo jifia kushiriki kwa sababu eti wanashika nafasi ya kumi na ngapi sijui Afrika! Wamesahau haya mashindano yenyewe yamekaa kibiashara! Na wala hayaangalii nani yuko wapi!
Aibu kubwa sana hii!!
Man U na Arsenal timu kubwa hazipo Uefa kitimu kidogo kama Spurs kipo sasa kukosekana kwa Yanga kwenye hayo mashindano sio kitu Yanga itabaki kua kubwa siku zote na tarehe 13 mtapoteana kama kawaida yenu.adriz liked your comment with ahahahah😅😅😅
Pole Sana mtani Kwa kutokuwepo ktk list..pambana uwe mkubwa Kama Simba😅
Ungesoma comment kwanza nazani usinge andika hii pumbaKuna watu wamepigwa na kitu kizito kichwani kwa mara ya pili mfululizo! Mwanzoni walijinasibu kuanzia raundi ya pili, mwisho wa siku wanaanzia raundi ya kwanza kama wale walio wakejeli!
Sasa hivi tena wanashiriki wote kwenye yale mashindano waliyo jifia kushiriki kwa sababu eti wanashika nafasi ya kumi na ngapi sijui Afrika! Wamesahau haya mashindano yenyewe yamekaa kibiashara! Na wala hayaangalii nani yuko wapi!
Aibu kubwa sana hii!!
Waambie hawa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"BINGWA CAF SUPER LEAGUE KUVUNA DOLA MILION 100 "
Rais wa CAF Patrice Motsepe amezindua michuano ya Super league na kusema kuwa mashindano hayo yatasaidia kuongeza fedha kwa vilabu vya Afrika ambapo bingwa wa mashindano hayo ataondoka na kiasi ha dola milioni 100 (Tsh Bilioni 233+).
Timu zote 24 zitakazoshiriki CAF Super League zitapokea dola milioni 3.5 (Tsh. Bilioni 8.1) kwaajili ya kusajili wachezaji, kulipia usafiri, malazi.
Here are the 24 clubs that will participate in the 1st edition of the CAF Super League[emoji471]:
1 Al Ahly [emoji1093]
2 Zamalek[emoji1093]
3 Pyramid [emoji1093]
4 Al Masry[emoji1093]
5 Wydad AC [emoji1173]
6 Raja Athletic [emoji1173]
7 RS Berkane [emoji1173]
8 Esperance [emoji1249]
9 Etoil Sportive Du Suhel [emoji1249]
10 Orlando Pirates [emoji1221]
11 Kaizer Chiefs [emoji1221]
12 Mamelodi Sundowns [emoji1221]
13 JS Kabyile[emoji1026]
14 CR Belouzidad [emoji1026]
15 E.S Setif [emoji1026]
16 TP Mazembe [emoji1078]
17 Horoya AC [emoji1119]
18 SC Enyimba[emoji1184]
19 Petro de Luanda [emoji1029]
20 Simba SC [emoji1241]
21 Asante Kotoko[emoji1110]
22 Al Hilal [emoji1232]
23 Asec Mimosas[emoji1081]
24 Coton Sport[emoji1062]
Unaumia mnooo, unaandika huku chozi linadondoka lol.Man U na Arsenal timu kubwa hazipo Uefa kitimu kidogo kama Spurs kipo sasa kukosekana kwa Yanga kwenye hayo mashindano sio kitu Yanga itabaki kua kubwa siku zote na tarehe 13 mtapoteana kama kawaida yenu.
Anaanzaje kukataa kwa mfano..bil ,8 za bureBabra amesimba Simba wamepata mwaliko lakini watakaa chini na kuangalia kama watashiriki au hawatashiriki.
Hahaha pumba at its pumbest. Endelea kujisifia bingwa wa kihistoria. Kumbuka huu sio uteule tuu kuangalia majina ya timu Bali ni records za timu barani afrika. Ubingwa wako wa kihistoria unaishia kumtishia ihefu, ila records za simba zinamtisha al ahlyMan U na Arsenal timu kubwa hazipo Uefa kitimu kidogo kama Spurs kipo sasa kukosekana kwa Yanga kwenye hayo mashindano sio kitu Yanga itabaki kua kubwa siku zote na tarehe 13 mtapoteana kama kawaida yenu.
Hapo yanga hakuna team mnaweza ifunga dadadeki zenu
Mbona Sisi Yanga hatupo, TFF ituonee hata CAF nao watuonee? This is not fair !!!! Twendeni FIFA kushitaki huu ujinga lazima ufike mwisho
Tulipowabeba kimataifa wakaanza kudharau ,tunaingiza timu nne kimataifa wanasema wamejibeba ,sasa wajibebe na hii