Hizi ndio timu 10 ambazo zimekuwa confirmed zitashiriki Super League Msimu 2023

Hizi ndio timu 10 ambazo zimekuwa confirmed zitashiriki Super League Msimu 2023

Hizi ndio Timu 10 ambazo zimekua confirmed Zitashiriki Super League Mwakani
Kama hamjapewa taarifa hizi na Barbra, basi ni za uongo maana aliyealikwa na kuhudhuria kikao Tanzania ni Barbra tu
 
Leo ni siku ya simba afrika. Ukurasa Rasmi wa caf
IMG-20220810-WA0061.jpg
 
Yaaani nyie Utopolo aka Vinyesi FC inabidi tuwaonee tu huruma saa nyingine. Mnapenda sana ukubwa ambao hata hamna.. team ya 67 huko unawezaje kusema mkubwa mwenzio yupo 15 Bora. Kimataifa mna point 0.5 hii aibu hata hamuisemi..
Ya 74 braza
 
Hizi Habari mnazipata wapi? Hakuna timu zilizochaguliwa kushiriki mpaka sasa , angalia official statement kwenye website ya CAF ,
 
Huyu sio yule aliyetuonesha Uzi mpya wa Simba kumbe sio wenyewe?
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom