Hizi ndiyo mechi zitakazo mfukuza kocha wa simba (Robertinho) na mikoba atairithi mgunda

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale.

Kwa hali waliyo nayo wanasimba/mashabiki wasimba haina tofauti na mgonjwa aliyetibiwa kwa muda mrefu bila kutambua kuwa ugonjwa wake atapona lini?? Sasa imebaki faraja na kelele za kisiasa za mpira Kama "baleke ni bonge la chezaji"
"Chama ni fundi kweli kweli"'

Kiufupi mashabiki wa Simba wamejisahau kabisa kuwa hawana uwezo wa kuchukua kombe la Nbcpl, hawana uwezo wakuchukua kombe la CAF, japokuwa wanaimba nakujisifu, kombe la Fa nalo linaupinzani mkubwa hata kombe ngao ya jamii lipo kwa wahasimu wao yanga.

Tumaini kubwa la mashabiki wa Simba/viongozi kwa hivi Sasa ni kumfunga mtani(yanga).
Kidogo hiyo itawafariji lakini yanga asipofungwa, Simba akapigwa basi kocha wa Simba Robertinho atafungasha mzigo wake.

Na, endapo yanga akaifunga Simba, na wydad akapiga kwenye mshono Robertinho ndiyo mwisho wa kibarua chake,
Hizo ndiyo furaha/kombe la mashabiki wa Simba lililobaki ni kushinda nyumbani.

NB: matusi, povu ruksa na tukutane tar 16/4 kwa mkapa uje kushuhudia namna gani yanga akisababisha kocha(Robertinho) akifukuzwa na mikoba kupewa Al watani juma mgunda.
 
Waambiage hao Ngada FC.
 
Kutwa kuchwa unahangaika na simba tu
 
Mm ambacho utopolo siwaelewagi ni swala moja tu, ni kikombe gani ambacho wao wamechukua ambacho simba hajawahi kuchukua?.

Halafu kingine kwa nini wasivunje au kufikia kwanza rekodi waliyoweka simba ya kuchukua ligi mara 4 mfululizo ndio waanze kujitapapata?

Au waombe tena lile kombe la mtani jembe lirudiwe maana hawajawahi kulichukua maana lilifanyika mara moja tu simba akabeba. Wakaamua kugomea misimu mingine.

Au basi wajitahidi kushiriki robo fainli cafcc huko kwa luzas wenzao marambili mfululizo ndio tutawasikiliza. Maana tukisema wafanye kama simba kushiriki mara nne mfululizo tutawaonea.

Maana ukihesau jumla ya vikombe vyote vilivyopo kabatini utopolo wanaachwa mbaali sana.

ĹUGHA WANAYOJIFARIJI SASA; Hakuna kombe la robo fainali hahahaaa. Utafikiri kuna kombe la anibiteni mara 49 na tisheti na keki zikawaozea.

"Mashabiki wa yanga ni vyura" Luc Aymel - kocha wa yanga.

"Yanga wenye akili ni wawili tu" Manara - semaji pendwa la wanautopolo.

"Wala mihogo wa yanga wanaropoka tuu" Hersi rais wao.

"Chupi za wanayanga zimejaa vinyeth" Manara
 
Mwendo ni kuwapiga Hamsaaa,wavurugane vizuri 🤔
 
Subiri uone namna gani yanga inachukua kombe la losers
 
Siyo....
Young African hata imfunge Simba Sc goli 7 bila na Wydad Imfunge Simba SC goli 10 bila nje ndani...Kocha hatofukuzwa n'go!!.

Simba SC msimu jana na msimu huu tumekubali kushindwa tayari.

Kocha atakuwa kwenye wakati mgumu endapo Simba SC itafanya vibaya next season.

Amini nakwambia.
 
Back
Top Bottom