Hizi ndiyo mechi zitakazo mfukuza kocha wa simba (Robertinho) na mikoba atairithi mgunda

Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale.

Kwa hali waliyo nayo wanasimba/mashabiki wasimba haina tofauti na mgonjwa aliyetibiwa kwa muda mrefu bila kutambua kuwa ugonjwa wake atapona lini?? Sasa imebaki faraja na kelele za kisiasa za mpira Kama "baleke ni bonge la chezaji"
"Chama ni fundi kweli kweli"'

Kiufupi mashabiki wa Simba wamejisahau kabisa kuwa hawana uwezo wa kuchukua kombe la Nbcpl, hawana uwezo wakuchukua kombe la CAF, japokuwa wanaimba nakujisifu, kombe la Fa nalo linaupinzani mkubwa hata kombe ngao ya jamii lipo kwa wahasimu wao yanga.

Tumaini kubwa la mashabiki wa Simba/viongozi kwa hivi Sasa ni kumfunga mtani(yanga).
Kidogo hiyo itawafariji lakini yanga asipofungwa, Simba akapigwa basi kocha wa Simba Robertinho atafungasha mzigo wake.

Na, endapo yanga akaifunga Simba, na wydad akapiga kwenye mshono Robertinho ndiyo mwisho wa kibarua chake,
Hizo ndiyo furaha/kombe la mashabiki wa Simba lililobaki ni kushinda nyumbani.

NB: matusi, povu ruksa na tukutane tar 16/4 kwa mkapa uje kushuhudia namna gani yanga akisababisha kocha(Robertinho) akifukuzwa na mikoba kupewa Al watani juma mgunda.
Yule Mzungu Hana uchawi wa kutuzuia,angekuwa Mgunda hapo sawa
 
Siyo....
Young African hata imfunge Simba Sc goli 7 bila na Wydad Imfunge Simba SC goli 10 bila nje ndani...Kocha hatofukuzwa n'go!!.

Simba SC msimu jana na msimu huu tumekubali kushindwa tayari.

Kocha atakuwa kwenye wakati mgumu endapo Simba SC itafanya vibaya next season.

Amini nakwambia.
Comment saved [emoji3578]
 
Hapo club utabakia na Guadiola Mnene.Mzungu Nje,tuna mwesabia siku tu🦁.tunawajueni baada ya goli hamsa za mtani hapo kesho kutwa mnaenda mtimua😂
 
Hapo club utabakia na Guadiola Mnene.Mzungu Nje,tuna mwesabia siku tu[emoji881].tunawajueni baada ya goli hamsa za mtani hapo kesho kutwa mnaenda mtimua[emoji23]
[emoji23]
 
Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale.

Kwa hali waliyo nayo wanasimba/mashabiki wasimba haina tofauti na mgonjwa aliyetibiwa kwa muda mrefu bila kutambua kuwa ugonjwa wake atapona lini?? Sasa imebaki faraja na kelele za kisiasa za mpira Kama "baleke ni bonge la chezaji"
"Chama ni fundi kweli kweli"'

Kiufupi mashabiki wa Simba wamejisahau kabisa kuwa hawana uwezo wa kuchukua kombe la Nbcpl, hawana uwezo wakuchukua kombe la CAF, japokuwa wanaimba nakujisifu, kombe la Fa nalo linaupinzani mkubwa hata kombe ngao ya jamii lipo kwa wahasimu wao yanga.

Tumaini kubwa la mashabiki wa Simba/viongozi kwa hivi Sasa ni kumfunga mtani(yanga).
Kidogo hiyo itawafariji lakini yanga asipofungwa, Simba akapigwa basi kocha wa Simba Robertinho atafungasha mzigo wake.

Na, endapo yanga akaifunga Simba, na wydad akapiga kwenye mshono Robertinho ndiyo mwisho wa kibarua chake,
Hizo ndiyo furaha/kombe la mashabiki wa Simba lililobaki ni kushinda nyumbani.

NB: matusi, povu ruksa na tukutane tar 16/4 kwa mkapa uje kushuhudia namna gani yanga akisababisha kocha(Robertinho) akifukuzwa na mikoba kupewa Al watani juma mgunda.
Bado unaamini ulichokiandika
 
Hivi kinyume cha kukanda ni nini?Gongowazi anapita alichokiandika kama si yeye.Kapata upofu wa kuchagua ghafla.
 
Ukweli mchungu/ukweli ambao wanasimba hawataki kabisa kuusikia masikioni mwao ni ukweli ambao ukiuzungumza utapigwa mawe, matusi na kejeri za hapa na pale.

Kwa hali waliyo nayo wanasimba/mashabiki wasimba haina tofauti na mgonjwa aliyetibiwa kwa muda mrefu bila kutambua kuwa ugonjwa wake atapona lini?? Sasa imebaki faraja na kelele za kisiasa za mpira Kama "baleke ni bonge la chezaji"
"Chama ni fundi kweli kweli"'

Kiufupi mashabiki wa Simba wamejisahau kabisa kuwa hawana uwezo wa kuchukua kombe la Nbcpl, hawana uwezo wakuchukua kombe la CAF, japokuwa wanaimba nakujisifu, kombe la Fa nalo linaupinzani mkubwa hata kombe ngao ya jamii lipo kwa wahasimu wao yanga.

Tumaini kubwa la mashabiki wa Simba/viongozi kwa hivi Sasa ni kumfunga mtani(yanga).
Kidogo hiyo itawafariji lakini yanga asipofungwa, Simba akapigwa basi kocha wa Simba Robertinho atafungasha mzigo wake.

Na, endapo yanga akaifunga Simba, na wydad akapiga kwenye mshono Robertinho ndiyo mwisho wa kibarua chake,
Hizo ndiyo furaha/kombe la mashabiki wa Simba lililobaki ni kushinda nyumbani.

NB: matusi, povu ruksa na tukutane tar 16/4 kwa mkapa uje kushuhudia namna gani yanga akisababisha kocha(Robertinho) akifukuzwa na mikoba kupewa Al watani juma mgunda.

Ulikuwa unaota mkuu,ulishaamka au bado umelala?
 
Back
Top Bottom