Hizi ndiyo sababu kuntu zinazonifanya niamini kuwa Al Ahly lazima adondoshe point 3 muhimu mbele ya Yanga SC

Me mwenyewe ni mwananchi lialia lakini mauya hamna kitu mule.
Ukiangalia hata game na Ihefu yeye ndio alie zingua pale kati.

Nalishauri benchi la ufundi liamuangalie kwa makini huyu jamaa (Mauya) ikibidi msimu ujao ampishe Yusuph kagoma pale kati.
KWANI ANACHEZA PEKE YAKE.
 

Mm ni mshabiki wa Simba Sc.
Kusema ukweli Yanga ipo vizuri sana na wakitulia wanaweza ifunga Al Ahly ndani na nje. Wapinzani wenu ni wazoefu na wanajiamini zaidi.

Ila....

Al Ahly kwa sasa sio nzuri sana.

Only kitu kimoja tu Yanga wanatakiwa wajihadhari ni counter attack. Ahly wanawweza wawaachie mpossess mpira mda mwingi na wao wakarudi nyuma kuwaona, ila nna hakika mkijikanyaga mkahamia nusu ya mpinzani katika kufos goli ndio itakuwa kaburi lenu.

Yangu isivuke yote mstari wa kati kwenda kushambulia, mabeki wakumbuke kurudi ama kutulia nafasi zao
 
Muda utatoa jibu tuombe uzima
 
TUKUTANE KWA MKAPA MKUU.
 
Kesho tarehe 2 ndio utajua kwamba unaemuongelea ni mkubwa kwako, jiandae tu kulegeza msuli
 
TOKA UMEPIGWA GOLI TANO UMEPOTEANA HUMU
Jifunzeni wa Arsenal wamepiga mtu goli 6 ila wapo kimya sana.

Sasa nyie majuha kila siku kila saa mnakenua meno na kubwabwaja eti alifunga tano kwa moja πŸ˜‚πŸ˜‚

Nikukumbushe tu NBC league ina waamuzi ndezi, ila huko CAF hakunaga bahasha wala magoli ya offsides.

Kazi mnayo πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…