NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #41
TUKUTANE KWA MKAPAMmeanza kujitekenya.
Baada ya dua zenu jana kugonga mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TUKUTANE KWA MKAPAMmeanza kujitekenya.
Baada ya dua zenu jana kugonga mwamba
KWANI ANACHEZA PEKE YAKE.Me mwenyewe ni mwananchi lialia lakini mauya hamna kitu mule.
Ukiangalia hata game na Ihefu yeye ndio alie zingua pale kati.
Nalishauri benchi la ufundi liamuangalie kwa makini huyu jamaa (Mauya) ikibidi msimu ujao ampishe Yusuph kagoma pale kati.
1/ Benchi la ufundi makini kuanzia kocha mpaka kocha msaidizi na makocha wanaoshughulika na kuweka fit miili ya wachezaji.
2/ Viongozi wa Yanga SC kuanzia Rais mpaka Makamo hatua ya kufika Fainali katika Kombe la Shirikisho ni somo tosha kwa viongozi, nadhani wamejifunza mengi nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja.
3/wachezaji wenye uzoefu mkubwa (experience)
- Kipa hapa kuna Diara mdaka mishale a.k.a screen protector, sina mashaka nae ni kipa Bora kabisa katika Ligi yetu hii hadi East Africa.
- Viungo Wakabaji (Aucho, Mudathri, Sureboy, Gift Mauya ) kila ninapotazama clip za YouTube jinsi Waarabu wa Tunisia wavyopata tabu naondoa mashaka kabisa nakuona kuwa Al Ahly lazima adondoshe point.
- Mabeki wa pembeni (Yao, lomalosa, nk.) hakika ni miamba kabisa, sioni Yanga SC wakipoteza point kwenye uwanja wa nyumbani.
- Viungo washambuliaji (Aziz Ki, Pakome, Max nzengel)
Sina mashaka na uwezo wao, Al Ahly waje ni ngumu kwa Yanga SC kupoteza point tatu muhimu kwenye uwanja wa nyumbani.
NB: Habari zenu tunazo kuwa Mama hajawapa hata mia mbovu maana mmefunga lakini hamjashinda mechi.
Muda utatoa jibu tuombe uzima1/ Benchi la ufundi makini kuanzia kocha mpaka kocha msaidizi na makocha wanaoshughulika na kuweka fit miili ya wachezaji.
2/ Viongozi wa Yanga SC kuanzia Rais mpaka Makamo hatua ya kufika Fainali katika Kombe la Shirikisho ni somo tosha kwa viongozi, nadhani wamejifunza mengi nje ya uwanja mpaka ndani ya uwanja.
3/wachezaji wenye uzoefu mkubwa (experience)
- Kipa hapa kuna Diara mdaka mishale a.k.a screen protector, sina mashaka nae ni kipa Bora kabisa katika Ligi yetu hii hadi East Africa.
- Viungo Wakabaji (Aucho, Mudathri, Sureboy, Gift Mauya ) kila ninapotazama clip za YouTube jinsi Waarabu wa Tunisia wavyopata tabu naondoa mashaka kabisa nakuona kuwa Al Ahly lazima adondoshe point.
- Mabeki wa pembeni (Yao, lomalosa, nk.) hakika ni miamba kabisa, sioni Yanga SC wakipoteza point kwenye uwanja wa nyumbani.
- Viungo washambuliaji (Aziz Ki, Pakome, Max nzengel)
Sina mashaka na uwezo wao, Al Ahly waje ni ngumu kwa Yanga SC kupoteza point tatu muhimu kwenye uwanja wa nyumbani.
NB: Habari zenu tunazo kuwa Mama hajawapa hata mia mbovu maana mmefunga lakini hamjashinda mechi.
Nataka uitaje wewe kwasababu ndie mleta uzi.... utinge robo final huku una washambuliaji wabovu kama mzize,konkon na musonda? Tambua kutinga robo final sio kitu rahisiHATA WEWE UNAWEZA KUTAJA.
TUKUTANE KWA MKAPA.Kubali kataa.Yanga msimu huu hatuna chetu.. kundi tunamliza kwa kuburutz mkii tukitolewa kwa aibu..yanga hatushindi hata mechi moja
TUKUTANE KWA MKAPAKesho sio mbali.
Kwani hao ndiyo wafungaji tu??Nataka uitaje wewe kwasababu ndie mleta uzi.... utinge robo final huku una washambuliaji wabovu kama mzize,konkon na musonda? Tambua kutinga robo final sio kitu rahisi
[emoji120]Muda utatoa jibu tuombe uzima
TUKUTANE KWA MKAPA MKUU.Mm ni mshabiki wa Simba Sc.
Kusema ukweli Yanga ipo vizuri sana na wakitulia wanaweza ifunga Al Ahly ndani na nje. Wapinzani wenu ni wazoefu na wanajiamini zaidi.
Ila....
Al Ahly kwa sasa sio nzuri sana.
Only kitu kimoja tu Yanga wanatakiwa wajihadhari ni counter attack. Ahly wanawweza wawaachie mpossess mpira mda mwingi na wao wakarudi nyuma kuwaona, ila nna hakika mkijikanyaga mkahamia nusu ya mpinzani katika kufos goli ndio itakuwa kaburi lenu.
Yangu isivuke yote mstari wa kati kwenda kushambulia, mabeki wakumbuke kurudi ama kutulia nafasi zao
Ni kesho tu hapa mkuu.Nitarud kukuthibitishia hili.TUKUTANE KWA MKAPA.
SAWA KIONGOZI.Ni kesho tu hapa mkuu.Nitarud kukuthibitishia hili.
NB
mimi ni yanga (nisiye washwa washwa)
TUKUTANE KWA MKAPA.Skudu makudubela nikikumbuka nabaki kucheka. Angalieni simba wasije tembeza bahasha mkafungwa
Uchambuzi ukomee hapa, NALIA NGWENA kajimwambafu kuwa hamtapoteza point 3 ila mkifungwa atasema kama ulivyosema wewe 😂Kuna timu hapa duniani huwa haifugwi?
Jifunzeni wa Arsenal wamepiga mtu goli 6 ila wapo kimya sana.TOKA UMEPIGWA GOLI TANO UMEPOTEANA HUMU