NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
hatari sana mkuuuThimba guvu moya-Mwamedi Glazerbhai Janja2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana mkuuuThimba guvu moya-Mwamedi Glazerbhai Janja2.
Mangungu mitano tenaMangungu hauja mzungumzia
mpaka timu likifungwa na yanga ndiyo utasikia kuwa hawamataki mangunguMangungu mutant tena
Wewe waambieni tu ni timu bora watachukua ubingwa kuepusha kelele. Yaani waambie wana bonge ya timu.(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na sasa amaerudi tena, kwa mwenendo huo wanasimba wasitegemee makombe kama uongozi uliopita na uliopo umeshindwa kabisa kuwapa hata kombe la kufutia machozi, uongozi bora unachangia pakubwa sana katika maendeleo ya timu.
(2)SAKATA LA USAJILI WA LAWI NA CHAMA, boss aliporudi Simba aliwaambia wanasimba kuwa" amerudi na nguvu mpya na kasi" pia kwa hiyo wanasimba wanapaswa kuandaa furaha tu lakini usajili wa mchezaji lawi kutoka coastal union umekuja kutia doa na kuonekana Simba sc ni janja janja tu haina hele na bosi kaja na maneno badala ya kutoa kibunda na ndiyo hivyo kwa Chama , walisema kuwa wanaachana na chama wakati hawajapata mbadala baada ya kusikia chama anakwenda upande wa pili wameenda kumpigia magoti na kumuongezea dau , hii tafsiri yake ni kuwa "there is a lack of seriousness"
(3)BOSS KUFANYA PRESS KWENYE MITANDAO KAMA INSTAGRA, Simba sc ni timu kubwa yaani ni brand kubwa na ina mashabiki wa kutosha na hao mashabiki wanataka kumuona boss wao au tajiri wao wa timu akiongea nini kuhusu timu yao, wanataka kuona vyombo vya habari vikifanya mahojiano na boss wao na siyo boss kukaa geto kisha kuanza kutoa maneno yake tena ya kuchagua viongozi watakao unda bodi ya timu , kwa muonekano huu inaonesha kabisa Simba sc inachezewa na baadhi ya watu wachache wanaojiona simba ni ya kwao, kwa madharau kama haya kwa masahabiki tusitegemee kuona Simba sc ikichukua ubingwa wa Nbcpl 2024/2025.
(4)MGAWANYIKO WA VIONGOZI NDANI YA CLUB, za ndani kabisa kuna baadhi ya viongozi hawajapendezwa na mrejeo wa Mo dewji na kupanga swahiba wake Try again kuwa mjumbe, sasa kwa bomu kama hili tusitegemee kuona matunda ya timu aua timu kupata vikombe maana hakuna maelewano kwa viongozi hakuna vita mbaya kama ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nyumba moja ni rahisi sana kuvunja nyumba
(5)USAJILI WA WACHEZAJI PASIPO NA PENDEKEZO LA KOCHA, Timu haina kocha mpaka sasa lakini inafanya usajili swali je ni nani anayesajili na kutoa mapendekezo kuwa mchezaji fulani asajiliwe?
hakuna cha skauti wala mgunda ni viongozi ndiyo wanasajili kwa kutumia uzoefu waliokuwa wanaufanya toka mwanzo lakini kwa sasa ukiwauliza watakuambia tunatumia skauti na kocha mgunda ukija nyuma ya pazia kuna ujanja mwingi sana unafanyika.
tukumbuke timu ilishawahi kwenda pre season bila ya kocha na baadhi ya wachezaji walikuja nyuma nyuma tena kwa kulazimishwa hata msimu wa 2024/25 hiki kitatokea na kwa muundo huu tusiegemee kuona Simba sc ikichukua kombe lolote ndani ya ligi.
TUKUTANE UWAJANI MSIMU WA NBCPL 2024/25
Kila la heri timu ya Wananchi Young Africans.(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na sasa amaerudi tena, kwa mwenendo huo wanasimba wasitegemee makombe kama uongozi uliopita na uliopo umeshindwa kabisa kuwapa hata kombe la kufutia machozi, uongozi bora unachangia pakubwa sana katika maendeleo ya timu.
(2)SAKATA LA USAJILI WA LAWI NA CHAMA, boss aliporudi Simba aliwaambia wanasimba kuwa" amerudi na nguvu mpya na kasi" pia kwa hiyo wanasimba wanapaswa kuandaa furaha tu lakini usajili wa mchezaji lawi kutoka coastal union umekuja kutia doa na kuonekana Simba sc ni janja janja tu haina hele na bosi kaja na maneno badala ya kutoa kibunda na ndiyo hivyo kwa Chama , walisema kuwa wanaachana na chama wakati hawajapata mbadala baada ya kusikia chama anakwenda upande wa pili wameenda kumpigia magoti na kumuongezea dau , hii tafsiri yake ni kuwa "there is a lack of seriousness"
(3)BOSS KUFANYA PRESS KWENYE MITANDAO KAMA INSTAGRA, Simba sc ni timu kubwa yaani ni brand kubwa na ina mashabiki wa kutosha na hao mashabiki wanataka kumuona boss wao au tajiri wao wa timu akiongea nini kuhusu timu yao, wanataka kuona vyombo vya habari vikifanya mahojiano na boss wao na siyo boss kukaa geto kisha kuanza kutoa maneno yake tena ya kuchagua viongozi watakao unda bodi ya timu , kwa muonekano huu inaonesha kabisa Simba sc inachezewa na baadhi ya watu wachache wanaojiona simba ni ya kwao, kwa madharau kama haya kwa masahabiki tusitegemee kuona Simba sc ikichukua ubingwa wa Nbcpl 2024/2025.
(4)MGAWANYIKO WA VIONGOZI NDANI YA CLUB, za ndani kabisa kuna baadhi ya viongozi hawajapendezwa na mrejeo wa Mo dewji na kupanga swahiba wake Try again kuwa mjumbe, sasa kwa bomu kama hili tusitegemee kuona matunda ya timu aua timu kupata vikombe maana hakuna maelewano kwa viongozi hakuna vita mbaya kama ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nyumba moja ni rahisi sana kuvunja nyumba
(5)USAJILI WA WACHEZAJI PASIPO NA PENDEKEZO LA KOCHA, Timu haina kocha mpaka sasa lakini inafanya usajili swali je ni nani anayesajili na kutoa mapendekezo kuwa mchezaji fulani asajiliwe?
hakuna cha skauti wala mgunda ni viongozi ndiyo wanasajili kwa kutumia uzoefu waliokuwa wanaufanya toka mwanzo lakini kwa sasa ukiwauliza watakuambia tunatumia skauti na kocha mgunda ukija nyuma ya pazia kuna ujanja mwingi sana unafanyika.
tukumbuke timu ilishawahi kwenda pre season bila ya kocha na baadhi ya wachezaji walikuja nyuma nyuma tena kwa kulazimishwa hata msimu wa 2024/25 hiki kitatokea na kwa muundo huu tusiegemee kuona Simba sc ikichukua kombe lolote ndani ya ligi.
TUKUTANE UWAJANI MSIMU WA NBCPL 2024/25
Na pia awaambie Mo ndiye tajiri namba moja nchini! Mangungu hafai, na hivyo ajiuzulu mara moja!! Kibu Denis ndiye mshambuliaji bora kabisa Afrika! Ahmedi Ally ni semaji la CAF, nk! Hapo utaelewana nao.Wewe waambieni tu ni timu bora watachukua ubingwa kuepusha kelele. Yaani waambie wana bonge ya timu.
Kwa hiyo unataka kusema hakutakuwepo tena na visingizio iwapo ubingwa utakosekana kwa mara ya 4 mfululizo! Maduka yote si yamefurushwa?Kwakuwa maduka yenu yote yamefuruhushwa ndani ya simba na viongozi wasaliti waliokuwa wanatumiwa na jiesiem kupitisha rupia kwenda kwa baadhi ya wachezaji ili kutufungisha tumeshawabaini safari hii Kazi mnayo.
Safari hii tuna imani kila tundu liliopo kwenye mwili wa amfibia litatoa kila aina ya milio kama vile pwiii! fwiii ! uwiii ! n.k.
Wanapuyanga wenyewe mwanzoni na wanachama wao wanashangilia sana kipindi Cha usajili kikifika lakini ligi inapoanza yakawafika shingoni wanamgeukia mangungu kumtaka ajiuzulu, wanawaacha kina try again wanaozunguka kusainisha wachezaji!!(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu ili kulinda masilahi yao binafs katika timu, kwani ikumbukwe Mo dewji alimuachia kiti try again na sasa amaerudi tena, kwa mwenendo huo wanasimba wasitegemee makombe kama uongozi uliopita na uliopo umeshindwa kabisa kuwapa hata kombe la kufutia machozi, uongozi bora unachangia pakubwa sana katika maendeleo ya timu.
(2)SAKATA LA USAJILI WA LAWI NA CHAMA, boss aliporudi Simba aliwaambia wanasimba kuwa" amerudi na nguvu mpya na kasi" pia kwa hiyo wanasimba wanapaswa kuandaa furaha tu lakini usajili wa mchezaji lawi kutoka coastal union umekuja kutia doa na kuonekana Simba sc ni janja janja tu haina hele na bosi kaja na maneno badala ya kutoa kibunda na ndiyo hivyo kwa Chama , walisema kuwa wanaachana na chama wakati hawajapata mbadala baada ya kusikia chama anakwenda upande wa pili wameenda kumpigia magoti na kumuongezea dau , hii tafsiri yake ni kuwa "there is a lack of seriousness"
(3)BOSS KUFANYA PRESS KWENYE MITANDAO KAMA INSTAGRA, Simba sc ni timu kubwa yaani ni brand kubwa na ina mashabiki wa kutosha na hao mashabiki wanataka kumuona boss wao au tajiri wao wa timu akiongea nini kuhusu timu yao, wanataka kuona vyombo vya habari vikifanya mahojiano na boss wao na siyo boss kukaa geto kisha kuanza kutoa maneno yake tena ya kuchagua viongozi watakao unda bodi ya timu , kwa muonekano huu inaonesha kabisa Simba sc inachezewa na baadhi ya watu wachache wanaojiona simba ni ya kwao, kwa madharau kama haya kwa masahabiki tusitegemee kuona Simba sc ikichukua ubingwa wa Nbcpl 2024/2025.
(4)MGAWANYIKO WA VIONGOZI NDANI YA CLUB, za ndani kabisa kuna baadhi ya viongozi hawajapendezwa na mrejeo wa Mo dewji na kupanga swahiba wake Try again kuwa mjumbe, sasa kwa bomu kama hili tusitegemee kuona matunda ya timu aua timu kupata vikombe maana hakuna maelewano kwa viongozi hakuna vita mbaya kama ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya nyumba moja ni rahisi sana kuvunja nyumba
(5)USAJILI WA WACHEZAJI PASIPO NA PENDEKEZO LA KOCHA, Timu haina kocha mpaka sasa lakini inafanya usajili swali je ni nani anayesajili na kutoa mapendekezo kuwa mchezaji fulani asajiliwe?
hakuna cha skauti wala mgunda ni viongozi ndiyo wanasajili kwa kutumia uzoefu waliokuwa wanaufanya toka mwanzo lakini kwa sasa ukiwauliza watakuambia tunatumia skauti na kocha mgunda ukija nyuma ya pazia kuna ujanja mwingi sana unafanyika.
tukumbuke timu ilishawahi kwenda pre season bila ya kocha na baadhi ya wachezaji walikuja nyuma nyuma tena kwa kulazimishwa hata msimu wa 2024/25 hiki kitatokea na kwa muundo huu tusiegemee kuona Simba sc ikichukua kombe lolote ndani ya ligi.
TUKUTANE UWAJANI MSIMU WA NBCPL 2024/25
Acha tuutunze huu uziWanakuja sasa hivi na mipovu yao
Mkuu unataka tuwaambie ukweliWewe waambieni tu ni timu bora watachukua ubingwa kuepusha kelele. Yaani waambie wana bonge ya timu.
Subscribe for future useAcha tuutunze huu uzi
Kweli kabisa mkuuWanapuyanga wenyewe mwanzoni na wanachama wao wanashangilia sana kipindi Cha usajili kikifika lakini ligi inapoanza yakawafika shingoni wanamgeukia mangungu kumtaka ajiuzulu, wanawaacha kina try again wanaozunguka kusainisha wachezaji!!
Vita ya ndani kwa ndani uwa ni mbaya sana
Suala la lawi limekaa kiujanja janja mkuuUkiondoa swala la Lawi mengine yote ni sahihi.
NGOJA WAJE KUKUTUKANAYanga 21/22 ilianza kujipata
22/23 ikaanza kua hatari
23/24 ikawa ya Moto
24/25 itakua tishio Kwa wapinzani (untouchable ) [emoji91]
Msimu ujao tunaomba serikali ipunguze bei ya panadol na pia iongeze pembejeo kwenye kilimo cha ndimu na limao maana wasioipenda Yanga watateseka na kichefuchefu
🤝
Akikujibu mkuu nitagKwa hiyo unataka kusema hakutakuwepo tena na visingizio iwapo ubingwa utakosekana kwa mara ya 4 mfululizo! Maduka yote si yamefurushwa?