Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazonifanya niamini Simba Sc haitachukua ubingwa wa NBCPL 2024/2025

Kwakuwa maduka yenu yote yamefuruhushwa ndani ya simba na viongozi wasaliti waliokuwa wanatumiwa na jiesiem kupitisha rupia kwenda kwa baadhi ya wachezaji ili kutufungisha tumeshawabaini safari hii Kazi mnayo.

Safari hii tuna imani kila tundu liliopo kwenye mwili wa amfibia litatoa kila aina ya milio kama vile pwiii! fwiii ! uwiii ! n.k.
 
Wewe waambieni tu ni timu bora watachukua ubingwa kuepusha kelele. Yaani waambie wana bonge ya timu.
 
Kila la heri timu ya Wananchi Young Africans.
 
Wewe waambieni tu ni timu bora watachukua ubingwa kuepusha kelele. Yaani waambie wana bonge ya timu.
Na pia awaambie Mo ndiye tajiri namba moja nchini! Mangungu hafai, na hivyo ajiuzulu mara moja!! Kibu Denis ndiye mshambuliaji bora kabisa Afrika! Ahmedi Ally ni semaji la CAF, nk! Hapo utaelewana nao.
 
Kwa hiyo unataka kusema hakutakuwepo tena na visingizio iwapo ubingwa utakosekana kwa mara ya 4 mfululizo! Maduka yote si yamefurushwa?
 
Yanga 21/22 ilianza kujipata
22/23 ikaanza kua hatari
23/24 ikawa ya Moto
24/25 itakua tishio Kwa wapinzani (untouchable ) [emoji91]

Msimu ujao tunaomba serikali ipunguze bei ya panadol na pia iongeze pembejeo kwenye kilimo cha ndimu na limao maana wasioipenda Yanga watateseka na kichefuchefu
 
Wanapuyanga wenyewe mwanzoni na wanachama wao wanashangilia sana kipindi Cha usajili kikifika lakini ligi inapoanza yakawafika shingoni wanamgeukia mangungu kumtaka ajiuzulu, wanawaacha kina try again wanaozunguka kusainisha wachezaji!!
Vita ya ndani kwa ndani uwa ni mbaya sana
 
Kweli kabisa mkuu
 
NGOJA WAJE KUKUTUKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…