Hizi ndiyo sababu kuu maalumu zinazowafanya mashabiki wa Simba SC kugomea kununua tiketi za mchezo wa Simba SC dhidi ya Asec

Hakuna muhindi anaejali maslahi y wenzie anajali yakwake muwekezaji si ajabu ndo tatizo pamoja na viongozi wake wote hao ni matapeli tutamkumbuka sana hans pope yule ndo alikuwa mwana simba
 
Hakuna muhindi anaejali maslahi y wenzie anajali yakwake muwekezaji si ajabu ndo tatizo pamoja na viongozi wake wote hao ni matapeli tutamkumbuka sana hans pope yule ndo alikuwa mwana simba
KWELI KABISA MKUU.
 
VIJANA MMECHAFUKWA.
Ahh mtu anajikuta anaju kilakitu ni mpuuzi wengine hatunaga usimba wala uyanga alaf mtu kisa kaona umeiponda simba basi anajua mm yanga wakati leo nimetoka kuwacheka yanga kwa kusukumiziwa miiko mitatu bila huruma
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].........
Nyie jamaa nyie...!!
Duh!!
ANAWAPIGA SPANA MAKOLO [emoji2772][emoji16]
 
Hahahaha kutesa kwa zamu. Umesahau juzi tu hapo Mlikuwa mnachangishana kwenye vibakuli?! Mshukuruni GSM Tajiri wa vitendo sio kama huyu Mwamedi blaah blaaah kibao. Mara timu inamvunja moyo mara Timu inatengeneza deficit tu.Pathetic
Nyie wenyewe mmesahau juzi hapo timu ilikuwa inakaa kambini kwa ufadhili wa Chapati za Kaduguda mpaka akadai hela yake baada ya kumzingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…