92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Zile 5 si mlisema hivyo hivyo leo kikiwapi mnavurugana hata hamjielewi. Wakifungwa nitaenjoy maana kuna vioja vitazukaDua la kuku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile 5 si mlisema hivyo hivyo leo kikiwapi mnavurugana hata hamjielewi. Wakifungwa nitaenjoy maana kuna vioja vitazukaDua la kuku
Endelea kusubiria meli airport, wakati una kimeo chako hapo kwa Waarabu.Zile 5 si mlisema hivyo hivyo leo kikiwapi mnavurugana hata hamjielewi. Wakifungwa nitaenjoy maana kuna vioja vitazuka
Hahahah sina ushabiki na timu yoyote hapa bongo zaidi nafurahia vibweka vinavyojitokeza kwenye hizi timu sio kila anaechangia kuhusu simba basi ni yanga au kila anaeiponda yanga ni simba usikariri. Akili kisodaEndelea kusubiria meli airport, wakati una kimeo chako hapo kwa Waarabu.
Hahahaha kutesa kwa zamu. Umesahau juzi tu hapo Mlikuwa mnachangishana kwenye vibakuli?! Mshukuruni GSM Tajiri wa vitendo sio kama huyu Mwamedi blaah blaaah kibao. Mara timu inamvunja moyo mara Timu inatengeneza deficit tu.PatheticNafurahi sana kuona ndugu zetu wakiteseka
Wao wanataka ushindi tu .Simba wamefungwa mechi moja tuu wanataka kuvunja Team hawajui kuwa huo ni mpira una matokeo ya kikatili sana walifungwa Real Madrid tano wakiwa na wakina Cr 7 nyinyi mkiwa na Boko mnakula Tano mnataka kuandamana aisee...
Mo mwiko NyumaMo Extra kubwa
Hukuwahi kufungwa 5 na simba ? Au ni huo mwiko huko NYUMA?Zile 5 si mlisema hivyo hivyo leo kikiwapi mnavurugana hata hamjielewi. Wakifungwa nitaenjoy maana kuna vioja vitazuka
Hukuwahi kufungwa 5 na simba ? Au ni huo mwiko huko NYUMA?
[emoji16][emoji2772]Hukuwahi kufungwa 5 na simba ? Au ni huo mwiko huko NYUMA?
Hivyo hivyo ulivyoelewa [emoji41]Sale?
au ulimaanisha sare.
Simba wanajua mpira ni kama ngumi za kina Tyson upige tu bila hata kupigwa mara moja majaji wapo watatu hata ukishinda unashangaa unaambiwa umepigwa wao mechi moja tu kufungwa wametimua benchi la ufundi ngoja wamlete kocha asiefungwa...
DahNafurahi sana kuona ndugu zetu wakiteseka
Chanzo ni hiki kwenye Picha,hayo mengine ni magonjwa nyemelezi tuUkweli usemwe japokuwa ni mchungu, hamasa imekua kubwa sana katika kuwahamsisha mashabiki wa Simba sc lakini mwitikio sifuri.
Zimesambazwa tickets za bure kwenye matawi, viongozi wa Simba sc wanadai kuwa wameshusha kiingilio mpaka elfu 3000 kwa mzunguko Lakini nyuma ya pazia ni bure.
NALIA NGWENA nawapa sababu za mashabiki wa Simba sc kususia kununua tickets za mchezo wa Asec mimos utakaopigwa tare 25/11.
Mosi, kipigo kitakatifu (mbwa mwizi) walichokishuhudia mashabiki wa Simba sc dhidi ya mtani wao, hii imewanyong'onyesha sana mashabiki na kujiona kuwa hawana timu.
Pili, Matokeo mabovu ya Simba sc kwenye mechi za kimataifa, mashabiki wanajua kuwa hata wakihudhuria matokeo mazuri kwao ni sale tu tofauti na hapo labda wachezee kichapo.
Ikumbukwe toka Simba sc ianze kushiriki michuano hii ya kimataifa msimu huu haijawahi kushinda Bali imetoka sale michezo yote mpaka kufuzu makundi.
Tatu, mashabiki hawana Imani na kocha Cadena na msaidizi Wake Suleimani matola, mashabiki wanaamini makocha Hawa walioachiwa timu kwa muda mfupi hawana mbinu za kumfunga Asec.
Nne, uongo wa viongozi wa Simba sc akiwemo msemaji wao Ahmedy ally, kiufupi mashabiki wamechoka na wamemzoea kwa porojo zake zisizo na mashiko ukija kwenye uhalisia hakuna kitu.
Tano, kikosi kibovu Cha Simba sc hili lipo wazi haina kikosi Cha kuwafurahisha Wana Simba sc Bali Wana kikosi Cha kuwapa presha mashabiki wa Simba hii NI moja ya sababu kuu inayoifanya mashabiki wasiende uwanjani.
Maoni Yangu: yakifanyiwa kazi hayo, mashabiki watakuja uwanjani pasipo kufanyiwa hamasa ya visipika.
Nawasilisha hoja.
Haya sokomea ndani huo mwiko huko nyuma kwa sauti ya aggrey mwanriNani sasa hayo kawaambie mashabiki wa yanga sio mimi acha kukariri sina ushabiki na timu mavi za kkoo wala laana za tz