Uchaguzi 2020 Hizi ndiyo sababu zilizompa Dkt. Magufuli ushindi wa kishindo

Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM.

Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue.

1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa wale vijana wasiokuwa na ajira walijiajiri na kufanya kazi kwa uhuru bila bugdha(2015 walikuwa tayari hawa n ni wengi mno)

2. Amefanikiwa kudhibiti matumizi makubwa ya serikali na kubana matumizi.

3. Kuanzisha miradi mingi ya maendeleo. Reli,anga,kuhamia Dodoma, ujenzi wa barabara nyingi

4. Kuondoa baadhi ya urasimu katika ofisi za serikali pamoja na kuwa karibu wananchi. Hii imemfanya aonekane raisi wa wanyonge kweli kweli.

5. Kuleta heshima serikalini,hakuna tena mambo ya "unanijua mm ni nani"? Kila ofisi ya umma unayoenda unapata heshima na kuthaminiwa kuwa ww ndio boss.

6. Kuwapa watu uhuru wa kufanya biashara popote bila shida( ukikimbizwa na 🐕 rusha mifupa kwa nyuma) kwa sasa hakuna vijana wengi wasio na kazi mtaani kama zamani,kila mtu ana mishe zake utamwambia nani aandamane akusikilize?

Suala la kuandamana linahitaji watu wengi wenye hasira kweli kweli.

MY TAKE:
Magufuli sio malaika au Mungu kwa hiyo ana mapungufu yake. Mapungufu yake hayamnyimi heshima yake ya kuongoza awamu ya pili. Vijana wengi kwa sasa wako huru kufanya kazi au biashara zao bila bugdha yeyote toka serikalini kwanini wahangaike na kuandamana?

Ana mke ana majukumu mbalimbali anawaza kuhusu kesho yake akipigwa kwenye maandamano? Uhalisia wa maisha ya mtanzania ni mitaani na sio kwenye mitandao. Mtu anaishi US eti ana hasira na utawala 🤪! Umemkosea nini
Pia Mkuu umesahau.
Amekataa kutoa Ajira za kutosha na kuhamasisha kujiajiri ili watoto wa maskini tukomae
 
Aya ameiba kwa kishindo fanya unachotaka sasa
Nitafanyaje wakati mkuu wa majeshi ni msukuma mwenzake na mkuu wa polisi wote Kanda ya ziwa pia na mkuu wa TISS. Yeye kuua anaona kitu Cha kawaida kwa ajiri ya madaraka halafu anaona mungu ni binamu yake
 
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM.

Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue.

1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa wale vijana wasiokuwa na ajira walijiajiri na kufanya kazi kwa uhuru bila bugdha(2015 walikuwa tayari hawa n ni wengi mno)

2. Amefanikiwa kudhibiti matumizi makubwa ya serikali na kubana matumizi.

3. Kuanzisha miradi mingi ya maendeleo. Reli,anga,kuhamia Dodoma, ujenzi wa barabara nyingi

4. Kuondoa baadhi ya urasimu katika ofisi za serikali pamoja na kuwa karibu wananchi. Hii imemfanya aonekane raisi wa wanyonge kweli kweli.

5. Kuleta heshima serikalini,hakuna tena mambo ya "unanijua mm ni nani"? Kila ofisi ya umma unayoenda unapata heshima na kuthaminiwa kuwa ww ndio boss.

6. Kuwapa watu uhuru wa kufanya biashara popote bila shida( ukikimbizwa na 🐕 rusha mifupa kwa nyuma) kwa sasa hakuna vijana wengi wasio na kazi mtaani kama zamani,kila mtu ana mishe zake utamwambia nani aandamane akusikilize?

Suala la kuandamana linahitaji watu wengi wenye hasira kweli kweli.

MY TAKE:
Magufuli sio malaika au Mungu kwa hiyo ana mapungufu yake. Mapungufu yake hayamnyimi heshima yake ya kuongoza awamu ya pili. Vijana wengi kwa sasa wako huru kufanya kazi au biashara zao bila bugdha yeyote toka serikalini kwanini wahangaike na kuandamana?

Ana mke ana majukumu mbalimbali anawaza kuhusu kesho yake akipigwa kwenye maandamano? Uhalisia wa maisha ya mtanzania ni mitaani na sio kwenye mitandao. Mtu anaishi US eti ana hasira na utawala 🤪! Umemkosea nini
Pole sana mkuu
 
Rais Magufuli anafanya mambo yanayowagusa wananchi wa chini kabisa.
Tulio kwenye hayo maisha ndio tunamuelewa... Na vile tunauombea ndio Mungu anavyomnariki
Asante sana,na kuitazama kwa makini wapinzani wa Magufuli wengi wako mitandaoni tu...ila sisi wa chini tunaona alikotutoa
 
Kule tweeter wanakotumia kutoa matamko hakuna hata 2% ya wapiga kura, zaidi ya 70% ya wapiga kura ni wamachinga, mamantilie, wauza matunda..... hao hawana account tweeter ila wana kitambulisho cha kuuza biashara zao popote nchini, na ndio maana hata maandamano yameshindikina.
 
Una mtazamo kama wangu kabisa. Nahisi unaongea niliyoyaona hata kabla ya uchaguzi...ukiingia twitter utahisi upo nchi tofauti kabisa. Mpaka nimeamua kujitoa kabisa mana ni chuki tu zinapandikizwa👏👏👏
 
Hivi kuna mtu bado anaamini kuwa Magufuli kashinda kihalali? Pole.
 
Wewe unaonaje? Ukiibiwa na mwizi utamwacha aende wakati unamwona? Utakuwa uzezeta sasa
 
Kawakosea nini hao mabeberu mpaka wampe kikwazo? Hii ni tofauti na Zimbabwe bob. Tuna mali nyingi sana nchii ambazo mabeberu wanazitaka,waweke vikwazo tukimbilie China na Urusi.
Ukitumia hata chembe ya akili ya kuazima utajua afadhali ya mabeberu kuliko wachina, kwa nini Magufuli kakataa project ya Bagamoyo? Hivi CCM hamko informed au mnajitoa akili, Urusi waliwahi kuisaidia nchi gani zaidi ya silaha za kivita?
 
Wakati wapinzani wanaingia kwenye uchaguzi kwani hawakujua kuwa NEC sio tume huru!!! Au wamejua baada ya matokeo?
Walijua wataidhibiti kwa kulinda kura, hapo ndipo walipoingia policcm na TISS
 
Haya sawa baada ya kujua ni wizi wa kura umechukua hatua gani? Kulalamika kwako huku kunasaidia nini?
Kuonyesha udumavu wa akili, udikteta na kuingia madarakani bila ridhaa kwa akili yako kiduchu unaona consequences wewe hazitokukuta? Mbona unatumia VPN unajua serikali inapoteza sh ngapi kwa siku?
 
Definition of STUPID
KNOWING the truth
SEEING the truth
And still believing the LIES.

Wanaofit definition hii ni mboga mboga na ukiwaambia nyie wapumbavu wanakasirika
 
Sababu kuu ni

WIZI

UJAMBAZI

DULMA na UMWAGAJI DAMU

Ipo siku atavilipia vyote hivi kabla ya KIFO chake
 
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM.

Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue.

1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa wale vijana wasiokuwa na ajira walijiajiri na kufanya kazi kwa uhuru bila bugdha(2015 walikuwa tayari hawa n ni wengi mno)

2. Amefanikiwa kudhibiti matumizi makubwa ya serikali na kubana matumizi.

3. Kuanzisha miradi mingi ya maendeleo. Reli,anga,kuhamia Dodoma, ujenzi wa barabara nyingi

4. Kuondoa baadhi ya urasimu katika ofisi za serikali pamoja na kuwa karibu wananchi. Hii imemfanya aonekane raisi wa wanyonge kweli kweli.

5. Kuleta heshima serikalini,hakuna tena mambo ya "unanijua mm ni nani"? Kila ofisi ya umma unayoenda unapata heshima na kuthaminiwa kuwa ww ndio boss.

6. Kuwapa watu uhuru wa kufanya biashara popote bila shida( ukikimbizwa na 🐕 rusha mifupa kwa nyuma) kwa sasa hakuna vijana wengi wasio na kazi mtaani kama zamani,kila mtu ana mishe zake utamwambia nani aandamane akusikilize?

Suala la kuandamana linahitaji watu wengi wenye hasira kweli kweli.

MY TAKE:
Magufuli sio malaika au Mungu kwa hiyo ana mapungufu yake. Mapungufu yake hayamnyimi heshima yake ya kuongoza awamu ya pili. Vijana wengi kwa sasa wako huru kufanya kazi au biashara zao bila bugdha yeyote toka serikalini kwanini wahangaike na kuandamana?

Ana mke ana majukumu mbalimbali anawaza kuhusu kesho yake akipigwa kwenye maandamano? Uhalisia wa maisha ya mtanzania ni mitaani na sio kwenye mitandao. Mtu anaishi US eti ana hasira na utawala 🤪! Umemkosea nini

Naunga mkono hoja
 
Kwanza natoa pale kwa upinzani hasa CHADEMA kuwa uchaguzi huu sio kama 2015 ambapo kila mtanzania alikuwa amechoshwa na CCM.

Na kila raia alikua tayari kwa lolote ikisubiriwa kauli tu kwamba sasa tuingie barabarani tukichafue.

1. Baada ya Magufuli kuingia 2015 akafuta kazi migambo wote. Hapa wale vijana wasiokuwa na ajira walijiajiri na kufanya kazi kwa uhuru bila bugdha(2015 walikuwa tayari hawa n ni wengi mno)

2. Amefanikiwa kudhibiti matumizi makubwa ya serikali na kubana matumizi.

3. Kuanzisha miradi mingi ya maendeleo. Reli,anga,kuhamia Dodoma, ujenzi wa barabara nyingi

4. Kuondoa baadhi ya urasimu katika ofisi za serikali pamoja na kuwa karibu wananchi. Hii imemfanya aonekane raisi wa wanyonge kweli kweli.

5. Kuleta heshima serikalini,hakuna tena mambo ya "unanijua mm ni nani"? Kila ofisi ya umma unayoenda unapata heshima na kuthaminiwa kuwa ww ndio boss.

6. Kuwapa watu uhuru wa kufanya biashara popote bila shida( ukikimbizwa na 🐕 rusha mifupa kwa nyuma) kwa sasa hakuna vijana wengi wasio na kazi mtaani kama zamani,kila mtu ana mishe zake utamwambia nani aandamane akusikilize?

Suala la kuandamana linahitaji watu wengi wenye hasira kweli kweli.

MY TAKE:
Magufuli sio malaika au Mungu kwa hiyo ana mapungufu yake. Mapungufu yake hayamnyimi heshima yake ya kuongoza awamu ya pili. Vijana wengi kwa sasa wako huru kufanya kazi au biashara zao bila bugdha yeyote toka serikalini kwanini wahangaike na kuandamana?

Ana mke ana majukumu mbalimbali anawaza kuhusu kesho yake akipigwa kwenye maandamano? Uhalisia wa maisha ya mtanzania ni mitaani na sio kwenye mitandao. Mtu anaishi US eti ana hasira na utawala 🤪! Umemkosea nn
Huu upuuzi umepost lini?
 
Back
Top Bottom