Hizi ndizi kozi zenye soko katika ajira nchini

Hizi ndizi kozi zenye soko katika ajira nchini

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
5,710
Reaction score
8,579
Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi.
  • Electronics& communication (Self)
  • Computer &IT
  • Civil Eng,
  • Electrical Eng,
  • Mechanical Eng,
  • Biomedical Eng,
  • MD(Medical Doctor)
  • Med laboratory (Bach),
  • Pharmacy,
  • Nursing,
  • Clinical Medicine.

Nyingine wataongeza wazoefu..
 
Hizi zoto comb iwe PCB PCM EGM CBG kwahiyo wanao soma comb za arts ni kupoteza mda.
 
Mhi ngoja nikae Kimya.
But
Remember cheap is expensive
 
Ukiondoa priority course(kozi pendwa) Kuna hizi kozi zenye upana wa Ajira, Upande wa Afya na uhandisi.
  • Electronics& communication (Self)
  • Computer &IT
  • Civil Eng,
  • Electrical Eng,
  • Mechanical Eng,
  • Biomedical Eng,
  • MD(Medical Doctor)
  • Med laboratory (Bach),
  • Pharmacy,
  • Nursing,
  • Clinical Medicine.

Nyingine wataongeza wazoefu..
Bongo au wapi, elimu ya bongo bado ni mzigo kwa wahitimu wake.
 
Nyie h kunani nyote mliopiga one ni kama vile mmepiga hatua za mlevi akuna mlichofanikiwa ushauri wangu poteza huu mwaka kale kozi kwanza veta upate fani kwanza itakusaidia baadae. ukitaka show off zako uonekane wewe tu ndo mwenye degree ukoo wenu mzima majuto baada ya kumaliza Hilo degree lako la ualimu wa kiswahili ni historia ni makubwa sanaa
 
kila fani inasoko kikubwa ni uwe na mtaji na kujielewa unataka nini
 
Hizi zoto comb iwe PCB PCM EGM CBG kwahiyo wanao soma comb za arts ni kupoteza mda.
Nimeelezea kozi za science soon baada ya research nakuja na mkeka wa Economics na Education (arts)
 
Back
Top Bottom