princeNathan
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 312
- 632
Sasa watu mnalalamika nini wakati thamani ya pesa yenu imeshuka unazani huyo azam ananunua vifaa kwa pesa ngapi miezi mitano ilopita ilikuwa 2500 dollar moja leo 2700 inapanda je unazani huko nje kama alinunua fibre cable kwa 2m leo anainunua kwa 2.6m huoni jinsi gani maisha yanazid kuchangamuka ko ukiwa unalalamik lazim upitie vyanzo ujue sababu nini mmekaaa hapo hamuoni nashindwa kuelewa leo BoT au waziri wa uchumi kashindwa kuwafuata Kenya ajue wao wanaendeshaj uchumi wao mpaka pesa yao ipo imara leo.
Leo unalipwa milion moja ya tz ni sawa na laki saba tu maan katika milion yako ujue laki tatu imeend na maji haina thamani tena hii hela BOT na wazir watoke hadharani waelez hili jambo
Leo unalipwa milion moja ya tz ni sawa na laki saba tu maan katika milion yako ujue laki tatu imeend na maji haina thamani tena hii hela BOT na wazir watoke hadharani waelez hili jambo