Hizi ndizo drone zilizomfukuzisha Lugola na Andengenye? Basi waombwe msamaha

sawa na waziri mkuu juzi nimemsikia anasema eti watafanya tathmini kuona ni hasara kiasi gani imepatitikana, sijui ili wafanyaje wakishajua ??, maana sijawahi kuona serikali hii inawalipa watu fidia ya hasara walizopata, kwa hiyo lile tamko la waziri mkuu majaliwa lilikuwa porojo tu, naamini ndio kimya na hatakuja kuongea lolote, kwani hata baada ya kutoa tamko la kusimamisha shughuli pale sokoni kariakoo juzi, (bila kutaja muda), siku iliyofuata yaani jana nikasikia mkuu wa mkoa makalla anasema wafanyabiashara wanatakiwa warudi kuendelea na shughuli zao hapo sokoni
Imeisha hiyoo jamaa wana raha kweli kutawala mazuzu,kwani tumr aliyounda tukio la moto kuiba mafuta morogoro liliishia wapi
 
Hujui kuwa clouds kipindi wapo kitega uchumi ghorofa ya 12 mwaka 2003 studio yao Iliungua na jamaa wakazima vizuri tu
Kwa hiyo kumbe wako vizuri kama nchi tuko salama,nashukuru maana nilidhani kiteknolojia fire department iko nyuma
 
Ni wazembe tu wakiamua wanaweza,kujenga reserve tank ya maji pale ofisini kwao inahitaji kiasi gani,
 
Kama ndizo drones hizi walizotaka walete wale jamaa wakasiribwa kwelikweli basi waomnbwe msamaha haraka sana maana(siwatetei kwenye ufisadi wao ila kwa hili it was a good idea) kuna siku Kariakoo ile au magorofa marefu yatawaka moto huu mji utaungua wote maana shughuli ya juzi kariakoo imeonyesha dhahiri kwamba hata makao makuu ya fire hayana maji yaani hata visima hawana

Yaani yale mazoezi sijui ya kustukiza airport halafu wanahojiwa kwenye makamera wanajisifu kwamba wako vizuri unaweza kudhani ni watu walio serious kumbe FIX tu ni aibu sana kwa kweli bora hata waliokuwa wanajijibia KWANI SERIKALI NDO IMELETA*&*&(msituambie tena story za maji hayo magari ni mapambo tu siku nyingine ikitokea nyie jibuni kwani SERIKALI NDIYO IMELETA MOTO?

No wonder hata kuzima mlima kilimanjaro ilibidi kwenda kupiga magoti kenya kuomba helicopter, yaani haya ma sky scrappers ya mji huu kuna siku tutatia aibu ya dunia toka enzi za MV Bukoba, matetemeko Kagera, nzige, moto Kilimanjaro, kivuko ukerewe hii nchi imekuwa exposed kwamba haipo tayari kukabiliana na natural disasters UONGOUONGO TU na kutumia mahela mengi kwenye sisasa za uongouongo za kina covid 19 wabunge feki.

HAHAHAHAHAHA JIJI KUBWA LA NCHI YA UCHUMI WA KATI HALINA FIRE HYDRANT HATA MOJA, lol kuna siku hata ofisi nyeti zitaungua moto watu wanaangaliana na kuja na matamko ya kinafiki tu.

View attachment 1851201
Majeshi yote wamejaa UVCCM hakuna jipya
 
Hujui kuwa clouds kipindi wapo kitega uchumi ghorofa ya 12 mwaka 2003 studio yao Iliungua na jamaa wakazima vizuri tu
Siyo kwamba waliomba msaada wa gari la kampuni ya ulinzi ya makaburu lr
Ni wazembe tu wakiamua wanaweza,kujenga reserve tank ya maji pale ofisini kwao inahitaji kiasi gani,
Siyo wazembe tu hilo tukio la gorofa la bima waliomba msaada wa makaburu kampuni ya ulinzi sijui ni knight guard wale walikuwa na gari la fire lina winch,hakuna vifaaa kabisa nenda you tube tafuta moto wA juzi nbc kasulu uone
 
sawa na waziri mkuu juzi nimemsikia anasema eti watafanya tathmini kuona ni hasara kiasi gani imepatitikana, sijui ili wafanyaje wakishajua ??, maana sijawahi kuona serikali hii inawalipa watu fidia ya hasara walizopata, kwa hiyo lile tamko la waziri mkuu majaliwa lilikuwa porojo tu, naamini ndio kimya na hatakuja kuongea lolote, kwani hata baada ya kutoa tamko la kusimamisha shughuli pale sokoni kariakoo juzi, (bila kutaja muda), siku iliyofuata yaani jana nikasikia mkuu wa mkoa makalla anasema wafanyabiashara wanatakiwa warudi kuendelea na shughuli zao hapo sokoni
Anaongea hivyo huku ofisini ameacha dokezo la kufanya tathmini ya moto na siku ziende
 
Siyo kwamba waliomba msaada wa gari la kampuni ya ulinzi ya makaburu lr

Siyo wazembe tu hilo tukio la gorofa la bima waliomba msaada wa makaburu kampuni ya ulinzi sijui ni knight guard wale walikuwa na gari la fire lina winch
Hata kariakoo wangefanya hivyo basi ili kuokoa mambo
 
Wapo wanajiiita Garda
Ok,ni kupunguza anasa na kuwa na vipaumbele,dreamliner moja ni billions 560 naskia na ya pili ishalipiwa cash wakati ya kwanza haieleweki inafanya nini sasa si wangenunua magari ya kisasa ya zimamoto?
 
Kama ndizo drones hizi walizotaka walete wale jamaa wakasiribwa kwelikweli basi waomnbwe msamaha haraka sana maana(siwatetei kwenye ufisadi wao ila kwa hili it was a good idea) kuna siku Kariakoo ile au magorofa marefu yatawaka moto huu mji utaungua wote maana shughuli ya juzi kariakoo imeonyesha dhahiri kwamba hata makao makuu ya fire hayana maji yaani hata visima hawana

Yaani yale mazoezi sijui ya kustukiza airport halafu wanahojiwa kwenye makamera wanajisifu kwamba wako vizuri unaweza kudhani ni watu walio serious kumbe FIX tu ni aibu sana kwa kweli bora hata waliokuwa wanajijibia KWANI SERIKALI NDO IMELETA*&*&(msituambie tena story za maji hayo magari ni mapambo tu siku nyingine ikitokea nyie jibuni kwani SERIKALI NDIYO IMELETA MOTO?

No wonder hata kuzima mlima kilimanjaro ilibidi kwenda kupiga magoti kenya kuomba helicopter, yaani haya ma sky scrappers ya mji huu kuna siku tutatia aibu ya dunia toka enzi za MV Bukoba, matetemeko Kagera, nzige, moto Kilimanjaro, kivuko ukerewe hii nchi imekuwa exposed kwamba haipo tayari kukabiliana na natural disasters UONGOUONGO TU na kutumia mahela mengi kwenye sisasa za uongouongo za kina covid 19 wabunge feki.

HAHAHAHAHAHA JIJI KUBWA LA NCHI YA UCHUMI WA KATI HALINA FIRE HYDRANT HATA MOJA, lol kuna siku hata ofisi nyeti zitaungua moto watu wanaangaliana na kuja na matamko ya kinafiki tu.

View attachment 1851201
Ila gari la maji ya washawasha muda wote lina maji
 
Back
Top Bottom