Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.

pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa ambayo pia yatasaidia pia katika kuzalisha fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi na mapato kwa ujumla wake

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Faida siyo theory au hotuba ni kitu tangible
Tukidanganywa theory kuwa ohh gesi ikitoka umeme na gesi ya kupikia na viwanda vitakuwa chee bei ndogo mno yako wapi,

Ohh umeme bwawa la Nyerere likijengwa likianza kuzalisha umeme utakuwa bei sawa na bure yako wapi?

Utapeli mtupu kutapeli wananchi
 
Umesikiliza video ya Mheshimiwa David Kafulila? Usifanye vitu kwa kukariri ndugu yangu mtanzania
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.

pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa ambayo pia yatasaidia pia katika kuzalisha fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi na mapato kwa ujumla wake
View attachment 3120193

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
maelezo na ufafanuzi rahisi na muhimu mno kuhusu PPP, ambao kwakweli mpango huo utaipatia fursa na nafasi nzuri zaid serikali kufanya yale ambayo ni majukumu mtambuka ya kijamii na kisiasa yenye manufaa na maslahi mapana na ya moja kwa moja kwa wanainchi wote, huku yale mengine hususani ya kiuchumi yakafanywa na sekta binafsi..

well done David Kafulila 💪👊
 
maelezo na ufafanuzi rahisi na muhimu mno kuhusu PPP, ambao kwakweli mpango ambao utaipatia fursa na nafasi nzuri zaid serikali kufanya yale ambayo ni majukumu mtambuka ya kijamii na kisiasa yenye manufaa na maslahi mapana na ya moja kwa moja kwa wanainchi wote, huku yale mengine hususani ya kiuchumi yakafanywa na sekta binafsi..

well done David Kafulila 💪👊
Utashangaa jambo zuri kama hili CHADEMA wanaona wivu na kupinga.maana akili zao huwa hazieleweki zinawaza nini na wanataka nini maana wao ni kupinga kila kitu tu.
 
Kwani huyu ndiyo msemaji wa Serikali? Mbona kama anatumia nguvu kubwa, kuliko maisha yake. Hebu mumteuwe huko, tupumzike na hizi ngonjera.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.

pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa ambayo pia yatasaidia pia katika kuzalisha fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi na mapato kwa ujumla wake
View attachment 3120193

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili

Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.

pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa ambayo pia yatasaidia pia katika kuzalisha fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi na mapato kwa ujumla wake
View attachment 3120193

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Faida siyo theory au hotuba ni kitu tangible
Tukidanganywa theory kuwa ohh gesi ikitoka umeme na gesi ya kupikia na viwanda vitakuwa chee bei ndogo mno yako wapi,

Ohh umeme bwawa la Nyerere likijengwa likianza kuzalisha umeme utakuwa bei sawa na bure yako wapi?

Utapeli mtupu kutapeli wananchi
Mijinga kama hilo Kocho Mwashambwa ni kuachana nayo tu,linachojua ni kulamba makalio tu kujipendekeza
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.

pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa ambayo pia yatasaidia pia katika kuzalisha fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza wigo wa Kodi na mapato kwa ujumla wake
View attachment 3120193

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Safi kabisa
 
Back
Top Bottom