Uchaguzi 2020 Hizi ndizo hoja zitakazomuangusha Dkt. Magufuli na kumpaisha Tundu Lissu kwenye Uchaguzi Mkuu 2020

Naona mawazo yako kama picha yako , back to your point, hivi hujaona feeder roads zilizojengwa? This things za feeder roads na fly over they go hand in hand , sema zime chelewa na bado chache
 
Jiwe ni kiongozi katili kuwahi kutokea ndani ya tanzania
Imefikia hatua ukitaka kuiongelea serikali lazima uangalie kila pande kama kuna usalama maisha gani haya?!!!
 
12 October 2020
Mlowo, Mbozi
Tanzania

MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS MHE SALUM MWALIMU WAZUILIWA MLOWO JIMBO LA MBOZI


 
Furaha ya wananchi kila wakiiona CHADEMA

Wananchi wameshaanza kuonja uhuru na furaha ktk kampeni za CHADEMA 2020 na wanamatumaini makubwa ya Haki na Maendeleo ya Watu chini ya uongozi wa Tundu Lissu
 
Mgombea wa CCM Mpya aongea kwa hisia kuhusu vitambulisho vyake vya Tsh.20,000


Mgombea wa CCM Mpya ajinasibu kuwa amejitoa sadaka kwa wanaCCM , Azidi kutetea ujenzi wa madaraja, kiwanja cha ndege, flyovers na kuwalaumu mgambo wa serikali ya awamu ya tano kwa njaa yao kukwapua uji na viazi vya Mama-Ntilie na kupeleka kwa wake zao ....
 
Mkuu unafikiri kwa sababu wako USA wao ndio wachangia bora au upeo wao ni mkubwa kuliko mimi ambaye nipo Narungombe? Nakuhakikishia JPM hana mpinzani, hizi propaganda za mitandaoni hazitasaidia kitu...
Mkuu sasa si uweke hoja mezani au upangue hoja zao kwa hoja badala ya kupayuka tu kama mwendawazimu?
 
Sasa ikiwa amekusanya billion 5 na kuchota trillion 1.5 faida ipo wapi mkuu? Hivi unajua hesabu kweli wewe?
 
Ndio uhuru huo wa kuamua, una siku chache sana hadi tarehe 28 whether you like it or not JPM ndiye rais na hao makuwadi wenu ambao mliwaandaa janja yao tunaifahamu hamchomoki. You are too late.
Heee!!! πŸ™„ πŸ™„πŸ˜³Sasa mbona unapayuka tu bila takwimu wala data mkuu? Unakuwa kama shabiki wa mpira anayebisha kwamba Yanga au Simba watashinda bila analysis yoyote.
 
Ndoto za Alinacha....🀣🀣
 
Inawezekana unachosema ni sahihi, lakini kuzibomoa mkuu ni uzwazwa uliopitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…