mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza wanachama na watanzania kwa ujumla kuwa amefanya nini kukata mirija ya rushwa akaeleweka kuliko FAM ambaye hutegemea wapambe kutia propaganda ili kumsafisha.
Pili, Hoja ya u-dictator kwa kung'ang'ania kiti miaka yote inayotumiwa na wapinzani wa CHADEMA inakatwa mizizi.
Lakini tofauti na hapo, FAM akijipa / akipewa fursa ya kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama, huu ndiyo utakuwa mwanzo mzuri wa kifo cha CHADEMA na kufata nyayo za kina lipumba , na wakati huu CCM hatotumia nguvu kubwa kupambana na CHADEMA, ila watatumia hoja tu kukisambalatisha CHADEMA na kupata ushindi wa 100%.
Hizi ni baadhi tu ya hoja zitakazotumika na zikakosa namna ya kuzipangu;
1). CHADEMA ni wala rushwa, je kama chama tu wanashindwa kukata mirija ya rushwa , wakipewa nchi itakuwaje?
2).kama Mwenyekiti wao amekaa madarakani zaidi ya miongo 2, je, wakipewa nchi si watang'ang'ania kubadili katiba ili wawe na raisi wa kudumu?
3). CHADEMA hawana democracy kwenye chama chao kawa wanavyojinadi, je wakipewa nchi itakuwaje?
4). CHADEMA ni chama cha ukoo, angalieni msiwachague wasijeifanya nchi Mali yao na ukoo wao
Nyingine ongezea