habari zenu wakuu.
Hizi ndizo kauli walizo ambiwa wanafunzi wa udaktari na machief kipindi cha mitihani ya vitendo(practical). Kama ifuatavyo
1: Hiyo diagnosis inabidi tuiandikie kitabu chake yenyewe.
2:Umeona hilo koti lako lilivyo jeupe ndio kichwa chako kilivyo cheupe.
3:Hiyo dozi uliyotaja inahitaji Lori kuibeba.
4:Nacheka tu hapa hivi wewe unashahili kuwa daktari kweli au mganga wa kienyeji.
5:Ukitoa hilo dokta koti, hauna tofauti na ndugu anayeleta chakula kwa mgonjwa.
6: Unaweza kumpeleka ndugu yako akatibiwe na daktari kama wewe.
Kauli nyingine mtaongezea madaktari mliopitia hizi changamoto mpaka kutimiza ndoto zenu za kuwa madaktari.