Hizi ndizo Mechi Mbili zijazo za Man Utd

Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.

Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya Mashariki ni Man Utd Vs Spurs.
Phik Jones na Bailly wote ni majeruhi, beki gani atamkaba Hary Kane?
Kwenye kiungo Matic amechoka kwa kubebeshwa mzigo mkubwa peke yake, nani wa kuwazuia akina Delle Alli, Sissoko na Eriksen?

Baada ya hapo, Man Utd atasafiri mpaka Stamford Bridge "Darajani" kuwakabili Mabingwa watetezi Chelsea.
Nani atamzuia Morata, Hazard na Pedro?

Mimi nikiwa kama Mshabiki wa kutupwa wa Man Utd, nadiriki kusema ukweli Ujanja ujanja wa Mourinho unakaribia kufika mwisho. Man City ni bingwa mteule, Man Utd pambaneni msitoke nje ya top4

Povu ruksa!
Huyu jamaa Leo nahisi kajificha uvunguni Mwa kitanda!!
 
Baada ya Jumapili hii ijayo Man Utd watakuwa wa pili still tena hii baada ya kuifunga Chelsea.
 
Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.

Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya Mashariki ni Man Utd Vs Spurs.
Phik Jones na Bailly wote ni majeruhi, beki gani atamkaba Hary Kane?
Kwenye kiungo Matic amechoka kwa kubebeshwa mzigo mkubwa peke yake, nani wa kuwazuia akina Delle Alli, Sissoko na Eriksen?

Baada ya hapo, Man Utd atasafiri mpaka Stamford Bridge "Darajani" kuwakabili Mabingwa watetezi Chelsea.
Nani atamzuia Morata, Hazard na Pedro?

Mimi nikiwa kama Mshabiki wa kutupwa wa Man Utd, nadiriki kusema ukweli Ujanja ujanja wa Mourinho unakaribia kufika mwisho. Man City ni bingwa mteule, Man Utd pambaneni msitoke nje ya top4

Povu ruksa!

Kwanza Chelsea sio bingwa mtetezi kama hufatilii soka kaa pembeni
 
Back
Top Bottom