Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Huu uzi nina shaka nao utakuwa umetelekezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tumeuona sasaMan Utd msijifanye hamuoni uzi huu
Huyu jamaa Leo nahisi kajificha uvunguni Mwa kitanda!!Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.
Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya Mashariki ni Man Utd Vs Spurs.
Phik Jones na Bailly wote ni majeruhi, beki gani atamkaba Hary Kane?
Kwenye kiungo Matic amechoka kwa kubebeshwa mzigo mkubwa peke yake, nani wa kuwazuia akina Delle Alli, Sissoko na Eriksen?
Baada ya hapo, Man Utd atasafiri mpaka Stamford Bridge "Darajani" kuwakabili Mabingwa watetezi Chelsea.
Nani atamzuia Morata, Hazard na Pedro?
Mimi nikiwa kama Mshabiki wa kutupwa wa Man Utd, nadiriki kusema ukweli Ujanja ujanja wa Mourinho unakaribia kufika mwisho. Man City ni bingwa mteule, Man Utd pambaneni msitoke nje ya top4
Povu ruksa!
Liverpool ni timu kongwe....sio kubwa tenaDuh, kwa hiyo Chelsea waliyoipiga 1 bila siyo timu kubwa? Na je Liverpool aliyeogeshwa goli tano bila naye hahesabiki kama timu kubwa?.
Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.
Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya Mashariki ni Man Utd Vs Spurs.
Phik Jones na Bailly wote ni majeruhi, beki gani atamkaba Hary Kane?
Kwenye kiungo Matic amechoka kwa kubebeshwa mzigo mkubwa peke yake, nani wa kuwazuia akina Delle Alli, Sissoko na Eriksen?
Baada ya hapo, Man Utd atasafiri mpaka Stamford Bridge "Darajani" kuwakabili Mabingwa watetezi Chelsea.
Nani atamzuia Morata, Hazard na Pedro?
Mimi nikiwa kama Mshabiki wa kutupwa wa Man Utd, nadiriki kusema ukweli Ujanja ujanja wa Mourinho unakaribia kufika mwisho. Man City ni bingwa mteule, Man Utd pambaneni msitoke nje ya top4
Povu ruksa!
chelshit vipi kala ngapi?Totenham kala 1, bado Chelshit wiki ijayo.
ni kweli man u ni wa pili baada ya kufungwa na chelsea janaBaada ya Jumapili hii ijayo Man Utd watakuwa wa pili still tena hii baada ya kuifunga Chelsea.
ni kweli man u ni wa pili baada ya kufungwa na chelsea jana
Unatumia vigezo gan kuiweka liverpool katika timu kubwa?timu iloyotimiza umri wa mtu mzma bila kombe la ligi inaitwa timu kubwa?Liverpoool ni team ndogo? 5-0
teh...Totenham kala 1, bado Chelshit wiki ijayo.
Duh ina maana Lukaku hujamuona?! Japo mimi sio shabiki wa Man U lakini hao jamaa wana rekodi nzuri sana dhidi ya Tottenham.
Ndio mkuu, mara nyingi huwa tunatanguliza ushabiki kuliko uhalisia.Ulisema kweli
Baada ya Wiki mbili zijazo Man Utd atakuwa nje ya top4 hili halina ubishi kwa kutizama ratiba yao tu huitaji uwe na PhD uelewe nini kitajiri.
Jumamosi ijayo saa 8:30 kwa majira ya Afrika ya Mashariki ni Man Utd Vs Spurs.
Phik Jones na Bailly wote ni majeruhi, beki gani atamkaba Hary Kane?
Kwenye kiungo Matic amechoka kwa kubebeshwa mzigo mkubwa peke yake, nani wa kuwazuia akina Delle Alli, Sissoko na Eriksen?
Baada ya hapo, Man Utd atasafiri mpaka Stamford Bridge "Darajani" kuwakabili Mabingwa watetezi Chelsea.
Nani atamzuia Morata, Hazard na Pedro?
Mimi nikiwa kama Mshabiki wa kutupwa wa Man Utd, nadiriki kusema ukweli Ujanja ujanja wa Mourinho unakaribia kufika mwisho. Man City ni bingwa mteule, Man Utd pambaneni msitoke nje ya top4
Povu ruksa!
Angalia tarehe iliyopostiwa madaKwanza Chelsea sio bingwa mtetezi kama hufatilii soka kaa pembeni