Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,188
- 4,116
Japo kila watu na ladha zao.
Kwa duniani ngoma za Japan(Taiko) hazina mpinzani. Hawa jamaa wapo serious sana na swala la ngoma.
View: https://youtu.be/1HHic-ylhOE?si=zNbIbbQyO7OqByCn
Kwa Afrika Waburundi hawana mpinzani. Hawa hata kwa dunia huwezi kuwatoa top 5. Hawa jamaa wanazunguka dunia nzima kwenda kupiga ngoma.
View: https://youtu.be/J5SzhO6M1_o?si=S5zQ2FPewlGAQy4j
Kwa Tanzania ngoma ya mganda haina mpinzani. Hawa ilikuwa tuwaone kwenye matamasha mbalimbali huko duniani.
View: https://youtu.be/axNLzZqSxmM?feature=shared
Ngoma ya wanyakyusa inaifuatia mganda kwa ukaribu sana. Tulia anawapromote, awapeleke kimataifa sasa.
View: https://youtu.be/EDk0Jp-2hTU?si=dJk3FyF4j9xgIiKZ
Unadhani ni ngoma gani bora duniani au hapa Tz?