Japo kila watu na ladha zao.
Kwa duniani ngoma za Japan(Taiko) hazina mpinzani. Hawa jamaa wapo serious sana na swala la ngoma. View: https://youtu.be/1HHic-ylhOE?si=zNbIbbQyO7OqByCn
Kwa Afrika Waburundi hawana mpinzani. Hawa hata kwa dunia huwezi kuwatoa top 5. Hawa jamaa wanazunguka dunia nzima kwenda kupiga ngoma.