Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
2009 - 2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona samaria pamecool sana? hata jina lake linaashiria utakatifu fulani. em tueleze, hizi tafiti umezifanyaje
hahahaha mkuu hii imekufa jamaa ameokoka alichoma kreti na kupasua vyupa...lakini hivi sasa sijui jamaa kaishiwa tena naona watu wanaingia ingia pale lakini pamepooza sana kama unataka kulala lazima uwe na kitambulisho cha ndoa.
Acheni wivu. Kwani mnagogwa nyie??
Jamani na ARUSHA MBEYA MWANZA orodhesheni zenu
Msisahau na majumbani kwenu kwa wale mabachela, hosteli mbali mbali za vyuo...cbe, mabibo
Siku moja niko na Mr wangu tumekaa sekajembetunapata kinywaji,wahudumu wakaanza kulalamika kuwa Mage kila akija hapa lazima aache kinyesi kwenye mashuka yetu safari ijayo tumzuie asiingie na mtu.
Niliogopa ikabidi tuache soda zetu kurudi msibani.