Hizi ndizo rekodi zinazoshikiliwa na majiji nje ya Dar-Es-Salaam

Hizi ndizo rekodi zinazoshikiliwa na majiji nje ya Dar-Es-Salaam

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Muonekano mzuri city center - Mwanza
Barabara - Dodoma
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Malls na supermarket - Mwanza
Usalama - Dodoma
Huduma za Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Ukarimu wa watu - Tanga
Mipango miji - Dodoma
 
Jiji zuri kwa muonekano - Mwanza
Miundombinu - Mwanza
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Usalama - Tanga
Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Source.......
 
Mkuu sekta ya uchawi au juju inashikiliwa na mkoa Gani???
 
Kumbe mwanza ni kuzuri? Tangu lini?
Umefananisha na wapi?

Anyway kifo ni kifo tu.
 
Mwanza Lina muonekano mzuri?
Ukimwanisha vile vijumba kama vichuguu kwenye milima?
Au lile ziwa lenye kichocho?
Kama mawe Singida yamejaa ndio maana kinaitwa stone town.
Nenda kajifunze Facebook
 
Jiji zuri kwa muonekano - Mwanza
Miundombinu - Mwanza
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Usalama - Tanga
Huduma za Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Ukarimu wa watu - Tanga
Mipango miji - Dodoma
Hivi kumbe Mbeya ni jiji
 
Jiji zuri kwa muonekano - Mwanza
Miundombinu - Mwanza
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Usalama - Tanga
Huduma za Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Ukarimu wa watu - Tanga
Mipango miji - Dodoma
Kwa we ngedere wa Mwanza ujikalie ukijamba unatuandikia huu uchafu? JF imekuwa km mwanamke kahaba
 
Back
Top Bottom