Source.......Jiji zuri kwa muonekano - Mwanza
Miundombinu - Mwanza
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Usalama - Tanga
Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Source unaweza kuwa hata wewe, usijifungie ndani, zunguka nchi, juana na watu wa sehemu mbalimbaliSource.......
Mwanza utaifananisha ni jiji gani nje ya Dar ?Kumbe mwanza ni kuzuri? Tangu lini?
Umefananisha na wapi?
Anyway kifo ni kifo tu.
Hakuna mji wa kuwazidi Dodoma kwa mtandao mpana wa barabara za lamiMiundombinu - Mwanza
Dodoma wanaongoza...ni marachache sana kusikia matukio ya ujambazi,wizi Dodoma, Katikati ya mji unaweza kutembea usiku wa manane hakuna vibaka kama miji mingine japo tahadhari ni muhimuUsalama - Tanga
Hivi kumbe Mbeya ni jijiJiji zuri kwa muonekano - Mwanza
Miundombinu - Mwanza
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Usalama - Tanga
Huduma za Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Ukarimu wa watu - Tanga
Mipango miji - Dodoma
Kwa we ngedere wa Mwanza ujikalie ukijamba unatuandikia huu uchafu? JF imekuwa km mwanamke kahabaJiji zuri kwa muonekano - Mwanza
Miundombinu - Mwanza
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Usalama - Tanga
Huduma za Afya - Mbeya
Hali ya Hewa - Arusha
Mzunguko wa pesa - Mwanza
Unafuu wa maisha - Mbeya
Ukarimu wa watu - Tanga
Mipango miji - Dodoma
Wewe jamaa yako ni kutukana kila mtu mwenye kinzani na yakoKwa we ngedere wa Mwanza ujikalie ukijamba unatuandikia huu uchafu? JF imekuwa km mwanamke kahaba
UVCCM jifunze ustaarabuKwa we ngedere wa Mwanza ujikalie ukijamba unatuandikia huu uchafu? JF imekuwa km mwanamke kahaba
Wewe jamaa yako ni kutukana kila mtu mwenye kinzani na yako
Imekaa kimkoa zaidi humo ndani ndani vijijiniMkuu sekta ya uchawi au juju inashikiliwa na mkoa Gani???
Toa maoniNaupitia uzi