Rushwa yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2010, nilipita njia niliyoona watu wengi wanavuka lakini haikuwa njia rasmi, siku niliyokamatwa nikaomba waniachie hawakunielewa, nikatoa elf 2 wakaniachia.
kukamatwa na bangi kiasi kidogo mfano msokoto - Elf 50 (mmalizane kabla hamjafika kituoni)
matrafki gari binafsi kwa makosa ya kawaida elf 5 na elf 10
kusajiliwa kutambulisho cha kupiga kura mwaka 2015 - elf 2 ( uchaguzi ambao upinzani ulikuwa peak, vitambulisho viliitwa vichinjio )
Kukamatwa na simu ya uwizi - Kurudisha simu au ulipe gharama za simu mpya + vitu abavyo mtu alieibiwa simu ataviongezea akutie adabu + laki 3 ya mapoti