Hilo halipingiki, ni taasisi nyeti sanaKupata namba ya dem mwenye fangasi kitambaa cheupe ni bia moja, anaetumia Azuma ni bia 3
Yan kitambulisho cha kupiga kura nitoe rushwa ili hicho kitambulisho kinipe faida gani 😂Rushwa yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2010, nilipita njia niliyoona watu wengi wanavuka lakini haikuwa njia rasmi, siku niliyokamatwa nikaomba waniachie hawakunielewa, nikatoa elf 2 wakaniachia.
kukamatwa na bangi kiasi kidogo mfano msokoto - Elf 50 (mmalizane kabla hamjafika kituoni)
matrafki gari binafsi kwa makosa ya kawaida elf 5 na elf 10
kusajiliwa kutambulisho cha kupiga kura mwaka 2015 - elf 2
2015 angalau kulikuwa na upinzani, kulikuwa na foleni ndefu sana za kujiandikisha ili upate kichinjio (kitambulisho),Yan kitambulisho cha kupiga kura nitoe rushwa ili hicho kitambulisho kinipe faida gani 😂
ILI mtu akanyooshwe kwenye kura 😂 Dah mm sijafikia hy level2015 angalau kulikuwa na upinzani, kulikuwa na foleni ndefu sana za kujiandikisha ili upate kichinjio (kitambulisho),
😂