Mkuu denooJ!We jamaa kumbe huwa uko weak namna hii!
Au umeamua tu kujitoa akili kwa maslahi ya chama chako?
Muhimu kwako linda heshima yako.
Uzuri jf wengi wana uelewa mzuri. Utaishia kudharaulika tuMwanza ni karibu na Mikoa ya Geita,Mara,Kagera,Kigoma,
Simiyu,Tabora na Shinyanga kijiografia...
Nimefurahi ulipokiri heshima yako inaletwa na matendo ya kweli, bahati mbaya wewe umeandika uongo mwingi sana hapa.Mkuu denooJ!
Tunaandika yote tunayopata nafasi ya kuyajua...
Sitafuti kupendwa hapa JF!Uzuri jf wengi wana uelewa mzuri. Utaishia kudharaulika tu
Huyo mtu aliyegombea kwa tiketi ya CHADEMA wewe mwenyewe humjui anaweza kuwa na ushawishi wa kumshinda Mabula?Nimefurahi ulipokiri heshima yako inaletwa na kutetea ukweli, bahati mbaya wewe umeandika uongo mwingi sana hapa...
Hao akina Mabula wote wawili, walishinda kwenye ule UCHAFUZI?Huyo mtu aliyegombea kwa tiketi ya CHADEMA wewe mwenyewe humjui anaweza kuwa na ushawishi wa kumshinda Mabula?
Rudia kasome vizuriNimefurahi ulipokiri heshima yako inaletwa na kutetea ukweli, bahati mbaya wewe umeandika uongo mwingi sana hapa...
Mfano, uliposema Chadema inawategemea wafuasi wa Wenje Mwanza [paragraph yako ya pili] huu ni uongo wako kwanza...
Wewe ndie hunisomi vizuri, rudia kunisoma, nimeandika vizuri na bahati nzuri umeni quote.Rudia kasome vizuri......
Sijasema Chadema inamtegemea Wenje!
Nimesema Chadema inawategemea wafuasi wa Wenje,kwa pale MwanzaCity na pia kutokea Rorya,ambako siasa zao hazitegemei hoja,bali zimekaa kwa Ujaluo wao zaidi...
Kuna raia hapo Geita kakamatwa na kuwekwa mahabusi kisa Anadai haki yake ya kikatiba ya kupatiwa maji Safi na salama,middle class umefwata mkia wako, huwezi kuanzisha mada bila ya kuwahusisha CDMSitafuti kupendwa hapa JF!
Sipo humu kuandika ili niheshimike!
Ingekuwa natafuta heshima,ningeweka Identity yangu!
Au namba ya simu kama wafanyavyo wasaka heshima na uteuzi.
Mimi ni voicer of the Voiceless!
No matter ni upande gani....
Iwe CCM au Chadema au upinzani popote..
Mimi huwa naweka Rula juu ya karatasi.
Kusahau haliwezi kuwa kosa la jinai, na wala hakuwezi kufuta uhalisia, uhalisia utabaki pale pale..Huyo mtu aliyegombea kwa tiketi ya CHADEMA wewe mwenyewe humjui anaweza kuwa na ushawishi wa kumshinda Mabula?
HOJA Yako Haina mizania.Sitafuti kupendwa hapa JF!
Sipo humu kuandika ili niheshimike!
Ingekuwa natafuta heshima,ningeweka Identity yangu!
Au namba ya simu kama wafanyavyo wasaka heshima na uteuzi.
Mimi ni voicer of the Voiceless!
No matter ni upande gani....
Iwe CCM au Chadema au upinzani popote..
Mimi huwa naweka Rula juu ya karatasi.
Kuna thread umeandika msoga gang wawampendi Majaliwa imefutwa,Rudia kasome vizuri......
Sijasema Chadema inamtegemea Wenje!
Nimesema Chadema inawategemea wafuasi wa Wenje,kwa pale MwanzaCity na pia kutokea Rorya,ambako siasa zao hazitegemei hoja,bali zimekaa kwa Ujaluo wao zaidi.
Nikatolea mfano wa wajaluo wa Luo Nyanza kule Kisumu,Makindu Bay na Homa Bay wanavyomuabuda Raila "Baba"
Kuhusu kuondoka kwa Dk Slaa na waandamizi wengi ndani ya Chadema!
Huwezi kuona madhara yake,sababu wewe unachoangalia nibkuwepo kwa chama tu.
Ila hauangalii kiwango cha Performance yenu.
Na hujiul8zi kwamba kama chama...
...mngekuwa hatua gani kama hao wote walioondoka wangekuwepo ndani ya chama mpaka tunavyoongea na kuandika humu?
Chama ni taasisi kubwa,haiwezi kufa kifo kama cha binadamu,tutakiacha kikiwepo,ila suala ni kikiwa katika hali gani?
View attachment 2485559