Chawa ktk ubora,jitu zima unahangaika kuandika uharo tuuMwanza ni karibu na Mikoa ya Geita,Mara,Kagera,Kigoma,
Simiyu,Tabora na Shinyanga kijiografia.
Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu ,kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza.
Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali ukabila wao.
Ni kawaida ya hiyo jamii,mifano halisi ni kule kenya kwa "Baba" yao Raila.
Na kule Mwanza jamii hiyo imejikita kwa wingi na Chadema inatarajia kunufaika nao kwa asilimia kubwa!
Tofauti na Mikoa kama Dar es Salaam au Arusha,ambako hata Chadema yenyewe haina uhakika na kiwango kilichosalia cha ushawishi wake huko.
Baada ya kuwa na mabadiliko makubwa ndani ya miaka sita ambayo CCM wameitumia kujijenga huko.
Kwa kutekeleza ilani na ahadi zao kama inavyoendelea mpaka sasa.
Kwa Msaada wa Zakaria na Mabasi yake!
Ni Rahisi John Heche na Chadema,kuwasafirisha wafuasi wake.
Ambao wana Chuki na CCM, baada ya kudhibitiwa biashara za Magendo ya mipakani sanjari na wale wa Tunduma.
Na kuwapeleka Mwanza kwa urahisi na kujaza viwanja vya Furahisha.
Kisha wakasema Mwanza wameipokea Chadema kwa wingi,kumbe changa la macho.
Pia!
Gharama na miundombinu ya usafiri,kanda ya ziwa ni Rahisi sana kuwasafirisha kwa uchache wao.
Na kuwakutanisha Mwanza kwa malori,Coaster na nyenzo zozote zile za usafirishaji.
Chadema pia,bado wana ndoto za kutumia kifo cha Alphonce Mawazo wa Geita,na kutumaini kupata wafuasi kutoka Geita,pale watakapolitumia jina lake Majukwaani.
Chadema Moshi na Arusha,hata kwa Mbowe mwenyekiti kule Hai,tathmini yake inaonyesha kuchokwa!
Watu wameona tofauti kubwa,kwa vipindi viwili tofauti.
Enzi ya siasa za Uhuni wa Lema na Arusha,wakifikia hata kuhamasisha wafuasi wao, kutosalimiana na kuzira misiba ya wapinzani wao CCM.
Na Enzi za Maendeleo na siasa za kistaarabu,baada ya Lema kupigwa chini.
Ambapo Arusha imerudisha hadhi yake na miradi ya Maendeleo inavyotekelezwa kwa kuibadili Arusha mpaka sasa.
Pia Hai...
Mambo yalibadilika na siasa pia zikabadilika!
Lakini kinachowanyima Uhakika Chadema mpaka sasa!
Hawajui ni nini wananchi wanacho vichwani mwao,pale wanapooona Sabaya akifanyiwa uhuni na genge la Mbowe mpaka sasa.
Mbeya!
Tulia Akson,ameikamata Mbeya na wameona tofauti baina ya vipindi viwili tofauti pia.
Enzi ya Siasa za kihuni za Sugu jijini Mbeya,ambapo ilikuwa kufukuzana na FFU kila uchao.
Mbeya ikawa ikinuka moshi wa mabomu ya Machozi.
Lakini sasa Mbeya!
chini ya Tulia Akson,mbapo Mbeya imetulia na inasonga mbele kimaendeleo,katika nyanja zote.
Na wananchi wameona utofauti huo!.
Hivyo Mwanza imekuwa Chaguo sahihi,kwa Chadema kuanzia kupima upepo.
Lakini sababu kubwa ikiwa ni urahisi wa miundombinu ya kusomba wafuasi toka mikoa tofauti ambayo imepakana na Mwanza.
Ili kuuhadaa Ulimwengu kwamba Bado wako na uungwaji mkono,lakini ukweli ni tofauti na Uhalisia.
Nimetupa jiwe hilo......
Kama kawaida....
Litakayempata gizani au kwenye mwanga.....
Kwa utamaduni wa Chadema! Matusi ni jibu sahihi kwa liliempata vizuri......
Alamsikhi.
10101.
Ni kwa nini Mods mnaruhusu threads tena mfulilizo za aina hii? Ni njama au kwa kutojua zinavuruga nia ya Rais? Ni jambo lisilokubalika! Simamieni maadili ya JF, na msiruhusu uchonganishi wa kukwamisha demokrasia ya vyama vingi.Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.
Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza. Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali ukabila wao.
Ni kawaida ya hiyo jamii,mifano halisi ni kule kenya kwa "Baba" yao Raila.
Na kule Mwanza jamii hiyo imejikita kwa wingi na Chadema inatarajia kunufaika nao kwa asilimia kubwa!
Tofauti na Mikoa kama Dar es Salaam au Arusha, ambako hata Chadema yenyewe haina uhakika na kiwango kilichosalia cha ushawishi wake huko. Baada ya kuwa na mabadiliko makubwa ndani ya miaka sita ambayo CCM wameitumia kujijenga huko.
Kwa kutekeleza ilani na ahadi zao kama inavyoendelea mpaka sasa. Kwa Msaada wa Zakaria na Mabasi yake!
Ni rahisi John Heche na Chadema kuwasafirisha wafuasi wake ambao wana Chuki na CCM, baada ya kudhibitiwa biashara za Magendo ya mipakani sanjari na wale wa Tunduma. Na kuwapeleka Mwanza kwa urahisi na kujaza viwanja vya Furahisha kisha wakasema Mwanza wameipokea Chadema kwa wingi,kumbe changa la macho.
Pia! Gharama na miundombinu ya usafiri, kanda ya ziwa ni Rahisi sana kuwasafirisha kwa uchache wao.
Na kuwakutanisha Mwanza kwa malori, Coaster na nyenzo zozote zile za usafirishaji. Chadema pia bado wana ndoto za kutumia kifo cha Alphonce Mawazo wa Geita,na kutumaini kupata wafuasi kutoka Geita pale watakapolitumia jina lake Majukwaani.
Chadema Moshi na Arusha, hata kwa Mbowe mwenyekiti kule Hai, tathmini yake inaonyesha kuchokwa!
Watu wameona tofauti kubwa, kwa vipindi viwili tofauti. Enzi ya siasa za Uhuni wa Lema na Arusha, wakifikia hata kuhamasisha wafuasi wao, kutosalimiana na kuzira misiba ya wapinzani wao CCM.
Na Enzi za Maendeleo na siasa za kistaarabu,baada ya Lema kupigwa chini. Ambapo Arusha imerudisha hadhi yake na miradi ya Maendeleo inavyotekelezwa kwa kuibadili Arusha mpaka sasa. Pia Hai mambo yalibadilika na siasa pia zikabadilika!
Lakini kinachowanyima Uhakika Chadema mpaka sasa. Hawajui ni nini wananchi wanacho vichwani mwao, pale wanapooona Sabaya akifanyiwa uhuni na genge la Mbowe mpaka sasa.
Mbeya Tulia Akson, ameikamata Mbeya na wameona tofauti baina ya vipindi viwili tofauti pia. Enzi ya Siasa za kihuni za Sugu jijini Mbeya ambapo ilikuwa kufukuzana na FFU kila uchao. Mbeya ikawa ikinuka moshi wa mabomu ya Machozi.
Lakini sasa Mbeya chini ya Tulia Akson ambapo Mbeya imetulia na inasonga mbele kimaendeleo, katika nyanja zote na wananchi wameona utofauti huo, Hivyo Mwanza imekuwa Chaguo sahihi, kwa Chadema kuanzia kupima upepo.
Lakini sababu kubwa ikiwa ni urahisi wa miundombinu ya kusomba wafuasi toka mikoa tofauti ambayo imepakana na Mwanza ili kuuhadaa Ulimwengu kwamba Bado wako na uungwaji mkono,lakini ukweli ni tofauti na Uhalisia.
Nimetupa jiwe hilo, kama kawaida litakayempata gizani au kwenye mwanga. Kwa utamaduni wa Chadema! Matusi ni jibu sahihi kwa liliempata vizuri.
Alamsikhi.
10101.
Ushahidi tosha kwamba idadi kubwa ya watanzania ni wapumbavu; na vyama vyetu vya siasa vinatembelea kwenye upumbavu wetu.2015 Lowassa akiwa na kashfa ya ufisadi, na kila mtu akimuona hivyo, alihamia Chadema, alipofika kule mafuriko aliyopata kama mgombea wa Chadema mpaka leo yameweka rekodi,
UFISADI WA KUTISHA TAMISEMIRudia kasome vizuri
Sijasema Chadema inamtegemea Wenje!
Nimesema Chadema inawategemea wafuasi wa Wenje,kwa pale MwanzaCity na pia kutokea Rorya,ambako siasa zao hazitegemei hoja,bali zimekaa kwa Ujaluo wao zaidi.
Nikatolea mfano wa wajaluo wa Luo Nyanza kule Kisumu,Makindu Bay na Homa Bay wanavyomuabuda Raila "Baba"
Kuhusu kuondoka kwa Dk Slaa na waandamizi wengi ndani ya Chadema!
Huwezi kuona madhara yake,sababu wewe unachoangalia nibkuwepo kwa chama tu.
Ila hauangalii kiwango cha Performance yenu.
Na hujiul8zi kwamba kama chama, mngekuwa hatua gani kama hao wote walioondoka wangekuwepo ndani ya chama mpaka tunavyoongea na kuandika humu?
Chama ni taasisi kubwa,haiwezi kufa kifo kama cha binadamu,tutakiacha kikiwepo,ila suala ni kikiwa katika hali gani?
View attachment 2485559
Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.
Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza. Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali ukabila wao.
Ni kawaida ya hiyo jamii,mifano halisi ni kule kenya kwa "Baba" yao Raila.
Na kule Mwanza jamii hiyo imejikita kwa wingi na Chadema inatarajia kunufaika nao kwa asilimia kubwa!
Tofauti na Mikoa kama Dar es Salaam au Arusha, ambako hata Chadema yenyewe haina uhakika na kiwango kilichosalia cha ushawishi wake huko. Baada ya kuwa na mabadiliko makubwa ndani ya miaka sita ambayo CCM wameitumia kujijenga huko.
Kwa kutekeleza ilani na ahadi zao kama inavyoendelea mpaka sasa. Kwa Msaada wa Zakaria na Mabasi yake!
Ni rahisi John Heche na Chadema kuwasafirisha wafuasi wake ambao wana Chuki na CCM, baada ya kudhibitiwa biashara za Magendo ya mipakani sanjari na wale wa Tunduma. Na kuwapeleka Mwanza kwa urahisi na kujaza viwanja vya Furahisha kisha wakasema Mwanza wameipokea Chadema kwa wingi,kumbe changa la macho.
Pia! Gharama na miundombinu ya usafiri, kanda ya ziwa ni Rahisi sana kuwasafirisha kwa uchache wao.
Na kuwakutanisha Mwanza kwa malori, Coaster na nyenzo zozote zile za usafirishaji. Chadema pia bado wana ndoto za kutumia kifo cha Alphonce Mawazo wa Geita,na kutumaini kupata wafuasi kutoka Geita pale watakapolitumia jina lake Majukwaani.
Chadema Moshi na Arusha, hata kwa Mbowe mwenyekiti kule Hai, tathmini yake inaonyesha kuchokwa!
Watu wameona tofauti kubwa, kwa vipindi viwili tofauti. Enzi ya siasa za Uhuni wa Lema na Arusha, wakifikia hata kuhamasisha wafuasi wao, kutosalimiana na kuzira misiba ya wapinzani wao CCM.
Na Enzi za Maendeleo na siasa za kistaarabu,baada ya Lema kupigwa chini. Ambapo Arusha imerudisha hadhi yake na miradi ya Maendeleo inavyotekelezwa kwa kuibadili Arusha mpaka sasa. Pia Hai mambo yalibadilika na siasa pia zikabadilika!
Lakini kinachowanyima Uhakika Chadema mpaka sasa. Hawajui ni nini wananchi wanacho vichwani mwao, pale wanapooona Sabaya akifanyiwa uhuni na genge la Mbowe mpaka sasa.
Mbeya Tulia Akson, ameikamata Mbeya na wameona tofauti baina ya vipindi viwili tofauti pia. Enzi ya Siasa za kihuni za Sugu jijini Mbeya ambapo ilikuwa kufukuzana na FFU kila uchao. Mbeya ikawa ikinuka moshi wa mabomu ya Machozi.
Lakini sasa Mbeya chini ya Tulia Akson ambapo Mbeya imetulia na inasonga mbele kimaendeleo, katika nyanja zote na wananchi wameona utofauti huo, Hivyo Mwanza imekuwa Chaguo sahihi, kwa Chadema kuanzia kupima upepo.
Lakini sababu kubwa ikiwa ni urahisi wa miundombinu ya kusomba wafuasi toka mikoa tofauti ambayo imepakana na Mwanza ili kuuhadaa Ulimwengu kwamba Bado wako na uungwaji mkono,lakini ukweli ni tofauti na Uhalisia.
Nimetupa jiwe hilo, kama kawaida litakayempata gizani au kwenye mwanga. Kwa utamaduni wa Chadema! Matusi ni jibu sahihi kwa liliempata vizuri.
Alamsikhi.
10101.
Takataka yule aendelee kukufa tuWanaenda kutubu baada ya kushangilia kifo cha Magufuli
Huyo mtu aliyegombea kwa tiketi ya CHADEMA wewe mwenyewe humjui anaweza kuwa na ushawishi wa kumshinda Mabula?
Toka lini watu wa Mungu wakaacha kushangilia kifo cha shetani?Wanaenda kutubu baada ya kushangilia kifo cha Magufuli
Andishi refu lakini pumba tupu, binafsi sijaona hoja yoyote ya kujadili na wewe chawaRudia kasome vizuri
Sijasema Chadema inamtegemea Wenje!
Nimesema Chadema inawategemea wafuasi wa Wenje,kwa pale MwanzaCity na pia kutokea Rorya,ambako siasa zao hazitegemei hoja,bali zimekaa kwa Ujaluo wao zaidi.
Nikatolea mfano wa wajaluo wa Luo Nyanza kule Kisumu,Makindu Bay na Homa Bay wanavyomuabuda Raila "Baba"
Kuhusu kuondoka kwa Dk Slaa na waandamizi wengi ndani ya Chadema!
Huwezi kuona madhara yake,sababu wewe unachoangalia nibkuwepo kwa chama tu.
Ila hauangalii kiwango cha Performance yenu.
Na hujiul8zi kwamba kama chama, mngekuwa hatua gani kama hao wote walioondoka wangekuwepo ndani ya chama mpaka tunavyoongea na kuandika humu?
Chama ni taasisi kubwa,haiwezi kufa kifo kama cha binadamu,tutakiacha kikiwepo,ila suala ni kikiwa katika hali gani?
View attachment 2485559
Usiingilie maamuzi ya wapiga kura, wao kwa wingi wao ndio huamua kiongozi gani wamtakaye, hiyo ni haki yao.Ushahidi tosha kwamba idadi kubwa ya watanzania ni wapumbavu; na vyama vyetu vya siasa vinatembelea kwenye upumbavu wetu.
Hakuna mtu mwenye akili anayeweza kutamani kumpeleka lowasa Ikulu.
Maandiko kama haya ndio yanawainua CHADEMA na kukiharibia CCM. Umeeleza sifa za kupata huruma. Pole sanaMwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.
Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza. Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali ukabila wao.
Ni kawaida ya hiyo jamii,mifano halisi ni kule kenya kwa "Baba" yao Raila.
Na kule Mwanza jamii hiyo imejikita kwa wingi na Chadema inatarajia kunufaika nao kwa asilimia kubwa!
Tofauti na Mikoa kama Dar es Salaam au Arusha, ambako hata Chadema yenyewe haina uhakika na kiwango kilichosalia cha ushawishi wake huko. Baada ya kuwa na mabadiliko makubwa ndani ya miaka sita ambayo CCM wameitumia kujijenga huko.
Kwa kutekeleza ilani na ahadi zao kama inavyoendelea mpaka sasa. Kwa Msaada wa Zakaria na Mabasi yake!
Ni rahisi John Heche na Chadema kuwasafirisha wafuasi wake ambao wana Chuki na CCM, baada ya kudhibitiwa biashara za Magendo ya mipakani sanjari na wale wa Tunduma. Na kuwapeleka Mwanza kwa urahisi na kujaza viwanja vya Furahisha kisha wakasema Mwanza wameipokea Chadema kwa wingi,kumbe changa la macho.
Pia! Gharama na miundombinu ya usafiri, kanda ya ziwa ni Rahisi sana kuwasafirisha kwa uchache wao.
Na kuwakutanisha Mwanza kwa malori, Coaster na nyenzo zozote zile za usafirishaji. Chadema pia bado wana ndoto za kutumia kifo cha Alphonce Mawazo wa Geita,na kutumaini kupata wafuasi kutoka Geita pale watakapolitumia jina lake Majukwaani.
Chadema Moshi na Arusha, hata kwa Mbowe mwenyekiti kule Hai, tathmini yake inaonyesha kuchokwa!
Watu wameona tofauti kubwa, kwa vipindi viwili tofauti. Enzi ya siasa za Uhuni wa Lema na Arusha, wakifikia hata kuhamasisha wafuasi wao, kutosalimiana na kuzira misiba ya wapinzani wao CCM.
Na Enzi za Maendeleo na siasa za kistaarabu,baada ya Lema kupigwa chini. Ambapo Arusha imerudisha hadhi yake na miradi ya Maendeleo inavyotekelezwa kwa kuibadili Arusha mpaka sasa. Pia Hai mambo yalibadilika na siasa pia zikabadilika!
Lakini kinachowanyima Uhakika Chadema mpaka sasa. Hawajui ni nini wananchi wanacho vichwani mwao, pale wanapooona Sabaya akifanyiwa uhuni na genge la Mbowe mpaka sasa.
Mbeya Tulia Akson, ameikamata Mbeya na wameona tofauti baina ya vipindi viwili tofauti pia. Enzi ya Siasa za kihuni za Sugu jijini Mbeya ambapo ilikuwa kufukuzana na FFU kila uchao. Mbeya ikawa ikinuka moshi wa mabomu ya Machozi.
Lakini sasa Mbeya chini ya Tulia Akson ambapo Mbeya imetulia na inasonga mbele kimaendeleo, katika nyanja zote na wananchi wameona utofauti huo, Hivyo Mwanza imekuwa Chaguo sahihi, kwa Chadema kuanzia kupima upepo.
Lakini sababu kubwa ikiwa ni urahisi wa miundombinu ya kusomba wafuasi toka mikoa tofauti ambayo imepakana na Mwanza ili kuuhadaa Ulimwengu kwamba Bado wako na uungwaji mkono,lakini ukweli ni tofauti na Uhalisia.
Nimetupa jiwe hilo, kama kawaida litakayempata gizani au kwenye mwanga. Kwa utamaduni wa Chadema! Matusi ni jibu sahihi kwa liliempata vizuri.
Alamsikhi.
10101.
Uzi umejaa kilio na malalamiko tu , kulikoni ?Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.

Na hili lingine litolee tafsiri yake pia!Wewe ndie hunisomi vizuri, rudia kunisoma, nimeandika vizuri na bahati nzuri umeni quote.
Ndio maana nimekwambia, kama Chadema ingekuwa inawategemea wafuasi wa Wenje, basi Wenje angeondoka na wafuasi wake na kusababisha nguvu ya Chadema kupungua/kwisha Nyamagana, lakini uhalisia hauko hivyo.
Kuhusu kuondoka kwa kina Slaa, napo kama kungekuwa na madhara unayosema basi yangeonekana tu, kwanini yajifiche? kutokuyaona maana yake hayapo, usiishi kwa hisia.
Hiyo picha uliyoweka nayo haina maana yoyote kuonesha chama hakina nguvu ya watu, hilo ni jengo tu, lililojengwa na wale waliopo sehemu husika kwa matumizi yao kwa wakati husika, haiwezekani watanzania wakaichangia Chadema kujenga ofisi zao nchi nzima mpaja vijijini.
Huu ni uthibitisho kuwa CDM haina ukabila wala ukanda wafuasi wake wapo kona zote za nchi. Hongera CDM 🤙!Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia.