Hizi ndizo sababu za CHADEMA kuanzia mikutano yake Mwanza

Mwanza ni ya wasukuma na wasukuma wengi hasa Mwanza mjini wanaikubali sana Chadema
Hadi ndani kwa wasukuma wa kinyantuzu yaani mkoa wa Simiyu
Chadema inakubalika sana huko.
Iko kitu hakipo tena mkuu, Magufuri aliwageuza hawa wafuasi wa chadema kuwa neutral, Saivi ni watu wanaomfuata mtu kwa hoja zake na sio kwenda kichwakichwa kama ilivyokuwa zamani.

Na wakitaka wakosee zaidi waseme mabaya ya Jpm wakiwa kanda ya ziwa hata iyo mikutano itakosa watu.

Ukitaka kuamini, Pita Mwanza mjini Ongea na Vijana wakike 5, wakiume 5, wazee wakike 5, wazee wakiume 5 kuhusu chadema utapata majibu
 
Mwanza ni ya wasukuma na wasukuma wengi hasa Mwanza mjini wanaikubali sana Chadema
Hadi ndani kwa wasukuma wa kinyantuzu yaani mkoa wa Simiyu
Chadema inakubalika sana huko.
Wanyantuzu wana UDP yao ya Momose Cheyo na wanaikubali sana.CDM haipo popular Bariadi
 
Waambie ukweli hawa.CDM Mwanza ilikuwa ni kabla ya uchaguzi wa 2015.Baada ya uchaguzi hali siyo ile.Nadhani ndiyo maana viongozi wa CDM wameamua kurudi kuwekeza zaidi Mwanza
 
Shaka kaondolewa katika nafasi ile ya itikadi na uenezi, naona sasa swahiba zake mmeshaanza mipasho.
 
Nilipoona Lema mhuni,nikajua akili ya mwandishi ikoje.dustbin
Na sio mhuni tu,ila pia ni mwizi wa magari,hili lipo kwenye CV yake.
Na wewe kicheche usiemjua endelea na ukicheche wako.

Ila Arusha hili linaeleweka,kuanzia Sanawari, mpaka Sakina.

Tokea Kijenge mpaka Unga limited.

Kimandolu mpaka Mbauda....

Lema alikuwa mpigaji enzi hizo wakiwepo kina marehemu Amir pale Sakina kwa mama Yusuph..
 
We jamaa kumbe huwa uko weak namna hii!

Au umeamua tu kujitoa akili kwa maslahi ya chama chako?

Muhimu kwako, linda heshima yako.
Naona hizi takataka zimekuwa ng'ombe kabisa hazitaki hata kufikiri tena.
 
Ukikua utaacha upumbavu.
 
Hoja mfu. Hata Arusha imepakana kwa karibu na Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Singida hivyo pia ni rahisi kuwabeba. Ila upuuzi wa aina hiyo hufanywa na Ccm.
 
Asante Chawa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…