Kinengunengu
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,716
- 4,375
Hizo ni sababu tuu.. Kuhama wachezaji ni kitu cha kawaida sana duniani kote. .. Yeye sio wa kwanza na hatakuwa wa mwishoNisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
View attachment 2372396
Hahah, thimba bhana, nyie si ndo mliomkimbilia Akpan baada ya Ile Fainali ya FA[emoji1][emoji1][emoji1]walio mleta Dejan na Akpan wana dhambi wakatubuu