Hizi ndizo sababu za vijana kufa haraka (pre mature death)

Hizi ndizo sababu za vijana kufa haraka (pre mature death)

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya.
Magonjwa ya ghafla
Ajali
Vifo vya usingizini n.k

Sababu hasa ya vifo hivi ni nini?
1. Zinaa na ulevi.
Mithali 6 : 32

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
For read more download the Bible using this link:
Swahili English Bible - Apps on Google Play

Tena hii dhambi ya kulana tigo ndio inafyeka sana vijana. Zinàa inafungulia mlango wa maangamizi , hivyo mzinzi yuko kwenye danger zone.

2. Uchawi ( kurogana kwenye kutafuta fedha).

3. Roho chafu (mapepo)

Ili uepukane na vifo hivi jitahidi kuepuka kujawa pepo wachafu. Kijana mwenye pepo wachafu uwezekano wa kufika uzeeni ni mdogo sana.

Mapepo yanachukuliwa kwenye pornography, secular music na mapepo ya ukoo.
 
1Betting uraibu wa kamari
2kula ma vyakula ya viwandani
3Unywaji wa pombe kali visungura,konyagi
4Ukosefu wa ajira
5Depression na kukata tamaa
 
Naona vijana sasa wanakufa utadhani kuna mashindano wanayafanya.
Magonjwa ya ghafla
Ajali
Vifo vya usingizini n.k

Sababu hasa ya vifo hivi ni nini?
1. Zinaa na ulevi.
Mithali 6 : 32

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
For read more download the Bible using this link:
Swahili English Bible - Apps on Google Play

Tena hii dhambi ya kulana tigo ndio inafyeka sana vijana. Zinàa inafungulia mlango wa maangamizi , hivyo mzinzi yuko kwenye danger zone.

2. Uchawi ( kurogana kwenye kutafuta fedha).

3. Roho chafu (mapepo)

Ili uepukane na vifo hivi jitahidi kuepuka kujawa pepo wachafu. Kijana mwenye pepo wachafu uwezekano wa kufika uzeeni ni mdogo sana.

Mapepo yanachukuliwa kwenye pornography, secular music na mapepo ya ukoo.

1. Yesu alikufa Akiwa na miaka 33
2. Habil alikufa Akiwa na umri wa ujana hata mtoto hakuwa amezaa.

Kifo hakiangalik hayo
 
?
Kuna jambo hujalielewa.
Huku Afrika watu wanamfahamu Mungu kuliko huko Ulaya. Hivyo wazungu ni kama wapagani. Ni sawa na mtoto mdogo akitenda kosa hawezi kupata adhabu sawa na mtoto mkubwa.
Acha uongo ww, Mungu wako anakusaidia nn kama bado huwezi hata kujitegemea kwa lolote kama madawa,chakula na mavazi.Mbona hao wapagani ndo wanao wapa misaada tuambie Mungu wenu anafanya nn kuwa saidia ?
 
Back
Top Bottom