Utafiti uliofanywa na watalaam toka nchini umegundua wanafunzi wanafunzi wa vyuo tanzania1.hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko lecture na semina2.hushinda room kuliko libray3.hujua mitindo ya mavazi kuliko module4.huogopa sap,carry na disco kuliko dhambi5.humfahamu wakurugenzi wa bodi ya mikopo kuliko wa wahadhiliHupenda kuangalia movies badala ya kwenda discusion.Hupenda kutembeleana badala ya kushinda chuoni.6.huudhulia birhdays,harusi kuliko ibada7.hutoa ofa kwa wenzao kuliko sadaka misikini na makanisani8.hupenda ku discuss mishahara kuliko maswali9.hupenda kuwabagua wenzao wanaotoka familia za kimasikini kuliko matajili10.huchukia sana siku za mitihani,test[/QUOTEHayo yote ni haki yao kufanya kwani watakuja kufanya lini?? Huu ndo wakati wao jamani acheni wivu. Na wewe unapenda kufanya nini??