Hizi ndizo silaha hatari ambazo Mchina kazionyesha kwenye gwaride lake! Wachambuzi mpo!

Irani Nao huwa wanaonyeshaga hayo matoyi Lakin kilichowakuta Ni Siri yao.
 
Nchi za kijaa bwana,halafu hao wa
 
Za Kichina hizo achana nazo. Hawana tofauti na JWTZ.
Kawaulize wafaransa na ndege zao za Rafale zilizo dondoshwa na ndege ya mchina J10 kwenye mgogoro wa Pakistan na India.
 
Maplatic tu hayo ya maonesho
 
Marekani akikusikia anaweza akakuchapa kibao cha kwenye macho. Maana kwake maisha hayawezi kwenda bila ya vita, ubabe wa kijinga na chokochoko dhidi ya Mataifa mengine.
Mkuu, Marekani huwa ana Ubabe wa Kikakati sio Ubabe wa kijinga. Yale makampuni ya kutengeneza silaha za kivita yasipopata wateja (nchi zenye vita), Serikali itakosa fedha ya kujiendesha(maokoto)i.e. Kodi.
 
Zimetumika wap?
 
Silaha kali kazitumia wapi?

Nchi hizo wana hasara sana, wanajeshi weeengi, halafu hakuna uzalishaji, wanasubiria vita, vitoke wapi?
 
Sisi tutapasua matofari mkuu.
 
Nzuri sana kwa kujihami na kuzuia uchokozi.

Ila PLA ukiacha kazi za kulinda amani hawana uzoefu na operation halisi.

T14 Armata
 
Silaha kali kazitumia wapi?

Nchi hizo wana hasara sana, wanajeshi weeengi, halafu hakuna uzalishaji, wanasubiria vita, vitoke wapi?
Uko sahihi mkuu. Wamesubiri vita vitokee halafu wahanga wa vita waende kununua kwao lakini vita vimetokea ila wahanga wameenda kununua kwa wengine. Ndo mana imewabidi sasa wafanye promo kwa kutumia plastic toys. Wachina ni wajanja sana.
 
Hivi huwa lengo lake hasa kubwa la kutengenezwa NI maonesho eti
Hapana. The world is not fair. Ukiwa na uchumi mkubwa lazima ujilinde vizuri, ukizubaa vibaka wanakupora na kutokomea gizani. Hizi display ni ujmbe kwamba vibaka msisogee mtakufa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…