kijana wa ovyo
Member
- Nov 14, 2023
- 43
- 32
JKCI pale hata mfanyakazi wa chini anaahueni pako vizuri sana 😋 tena zaidi ya sana ila Muhimbili njaa tupu ocean road hamna kitu narudia tena JKCI wafanyakazi watakuhudumia. Vizuri na huduma utapata kwa sababu hawana stress za maisha sjui Leo. Ntakula nini JKCI hapo yenyewe muhimbili big big big noo