Hizi ndo sababu 5 kwanini Telegram ni bora mara 100 kuliko WhatsApp

Kukosekana kwa End-to-End Encryption by Default kwenye Telegram chats mimi naiona kama drawback kubwa. Ukitaka End-to-End Encryption, lazima uanze Secret Chat manually!
 
Huu n uongo level ya kimataifa.

Mm natumia telegram kudownload movie, Na size ya telegram inaongezeka Kila nikidownload chcht kile.
Mbona iko wazi, Uki clear data, kila kitu utaweza kukikuta kwenye App baadae na kudownload upya kaka unahitaji, Whatsapp ukifuta kama kilikua na hata siku mbili, hukopati tena.
 
Mbona iko wazi, Uki clear data, kila kitu utaweza kukikuta kwenye App baadae na kudownload upya kaka unahitaji, Whatsapp ukifuta kama kilikua na hata siku mbili, hukopati tena.
Uki clear data Ndo umefuta Kila kitu
 
Mimi inachonikwaza ni kung'ang'ania VPN ndio ifunguke wakati apps nyingine zote zinatitirika bila shida
 
Telegram haiko faster kwenye kufunguka wakati mwingine haifunguki.
 
Nipe ujanja wa kudownload video zilizo zuiwa kudownload na kuhifadhi kenye simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…